Kwanini wanaume wengi hawataki kuoa?

Kiukweli,
Vijana muoe,
Narudia Tena, vijana muoe.

Ndoa Ina Raha yake Bhana[emoji4]

Mke wangu MAMA G nakuombea sana MUNGU akupe maisha marefu.

Japo nachepuka Sana,
ila UKWELI wee ndo nnaekupenda Sana MKE wangu.

Na HAKIKA, SIJUTII kabisa KUKUOA[emoji120]
 
Wanaume tuliofikia umri wa kuoa kuanzia miaka 20 mpaka 35 tupo mtaani tuna pita kwenye tanuri la moto la kutokuwa na kazi ya uhakika na kutotimiza milo mitatu halafu ukimbilie kuoa hapo itakuwa unakimbilia kifo mkuu na wao wanataka wanaume wenye pesa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ewaaaaa darasa zuri
 
Umeamua kuwapa mjii kama vile vitendawili vya darasa la 2 B?kweli kazi mnayo
 
Hili swala wanalichukulia masihara lakini ñdio utabiri unaenda kutimia hivyo kama Bible inavyosema katika kitabu cha isaya . Ndoa imepoteza ile maana halisi kabisa baada ya kuja kwa utandawazi ndoa ni agano kutoka kwa Mungu lakini kwa sasa wanadamu wanalichukulia kama Haina umuhimu Jambo lisilo kweli hasa wanawake.UTAWAKUTA WANADANGANYA KUWA HALUNA UMUHIMU WA KUOLEWA NAWEZA KUISHI MWENYEWE KIMBE NI AIBU KUBWA SANA NA HUWAGA WANAUMIA LAKINI NDO VILE HAWASEMI
 
Jipe moyo ...safari ya maisha ina mabonde na milima...mabonde na milima
 
Mzuka wa kuoa wengine hawana yaani hisia kabisa ukiwaza maisha yanakuendesha then bado ukweni kupeleka chochote kitu maana utakuwa ushazoa matatizo ya ukweni
 
Waambie hata wanaume wapo hivyo hivyoo
 
Natafta mke wa pili leo mwaka wa tano sijampata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…