Kwanini wanaume wanawapiga wake zao?

Kwanini wanaume wanawapiga wake zao?

Asilimia kubwa ya wanaume tumeumbwa na uvumilivu.Wapo walio na hasira za haraka lakini wengi wetu lipo suala la uvumilivu.Kinachowaponza wanawake mara nyingi ni hawana stara kwenye maneno.Wana maneno mwngine ya "wembe".Ninaposema wembe nafikiri ulishawahi kukatwa na wembe.Wembe ukakata vibaya na ni mkali.Sasa wanawake wengine wana maneno makali ya maudhi na hawanyamazi wala kufikiria mwisho wake ni nini.
Kingine makosa watakayoyafanya mara nyngi watahakikisha watatafuta namna yoyote "jumba bovu" limwangukie mwanaume hapa kama huna uvumilivu kipigo ni lazima.
Kingine kinachopelekea wanawake kupigwa ni usiri katika suala zima la mahusiano/ndoa.Hapa kuna maelezo ya kina ila kwa uchache tu ni kwamba asilimia fulani wanawake wengi walioolewa hawana mapenzi ya dhati kwa waume zao.Hili lipo kwa jinsia zote.Utakuta mwanamke kaolewa ila mapenzi ya dhati yapo kwa mwanaume mwingine.Na kwa jinsi walivyoumbwa ni kwamba atajitahidi kumuonyesha mapenzi mumewe huku rohoni mwao wakijua fika ni maigizo tu.Kwa mwanamke zipo hitlafu zitakazojitokeza katika maigizo yake na linapomzidi ndipo utaona manung'uniko, visa na vituko.Mwisho wa yote ni fumanizi live,message na mengineyo.Hii ni kwa kifupi tu.Bado sijakwenda mbali mpaka kwenye suala la kubambikwa watoto n.k
Barikiwa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom