Kwanini wanaume wanawapiga wake zao?

Kwanini wanaume wanawapiga wake zao?

Sababu mfu sana. Kupigwa kwa mke na kupigana na mwanaume mwingine kuna kuja kwa mazingira tofauti na sababu tofauti.

Kuna baadhi ya wanawake usipochapa hata makofi wanakuona dhaifu na kuanza kukuzoea vibaya na kukupanda kichwani
Kwa sababu ni dhaifu na waoga, hawawezi kupigana Wanaume wengine hivyo hasira zao wanazitolea kwa jinsia dhaifu kimwili!
 
Wakuu poleni na majukumu ya siku!

Wakuu ni kwanini wanaume wengi hawawezi kuishi na wake zao bila kuwapiga hata mara moja!?
Kwa hili swali lako nachelea kusema kuwa ama hujaoa bado ama yamkini hujawahi ishi hata na mtoto mdogo kwa miaka kadhaa!
Oa kwanza ndio utajua kwanini wanapigwa, au panga apartment umkaribishe mpenzi wako uishi nae kwa mwaka mmoja tu awe analala na kuamkia kwako! Utayapata majibu
 
Wanaume wasio na akili ndio huwapiga wake zao.
 
Sababu mfu sana. Kupigwa kwa mke na kupigana na mwanaume mwingine kuna kuja kwa mazingira tofauti na sababu tofauti.

Kuna baadhi ya wanawake usipochapa hata makofi wanakuona dhaifu na kuanza kukuzoea vibaya na kukupanda kichwani


Basi kama mnafikia huko ina maana hakuna Upendo kati yenu, na kama hamna Upendo nini kingine kinawaunganisha?
 
Nilikuwa na tabia hiyo kabla ya mzee wangu kunipa darasa na nikaamua kuacha.
 
Wakuu poleni na majukumu ya siku!

Wakuu ni kwanini wanaume wengi hawawezi kuishi na wake zao bila kuwapiga hata mara moja!?
Asilimia kubwa ya wanaume tumeumbwa na uvumilivu.Wapo walio na hasira za haraka lakini wengi wetu lipo suala la uvumilivu.Kinachowaponza wanawake mara nyingi ni hawana stara kwenye maneno.Wana maneno mwngine ya "wembe".Ninaposema wembe nafikiri ulishawahi kukatwa na wembe.Wembe ukakata vibaya na ni mkali.Sasa wanawake wengine wana maneno makali ya maudhi na hawanyamazi wala kufikiria mwisho wake ni nini.
Kingine makosa watakayoyafanya mara nyngi watahakikisha watatafuta namna yoyote "jumba bovu" limwangukie mwanaume hapa kama huna uvumilivu kipigo ni lazima.
Kingine kinachopelekea wanawake kupigwa ni usiri katika suala zima la mahusiano/ndoa.Hapa kuna maelezo ya kina ila kwa uchache tu ni kwamba asilimia fulani wanawake wengi walioolewa hawana mapenzi ya dhati kwa waume zao.Hili lipo kwa jinsia zote.Utakuta mwanamke kaolewa ila mapenzi ya dhati yapo kwa mwanaume mwingine.Na kwa jinsi walivyoumbwa ni kwamba atajitahidi kumuonyesha mapenzi mumewe huku rohoni mwao wakijua fika ni maigizo tu.Kwa mwanamke zipo hitlafu zitakazojitokeza katika maigizo yake na linapomzidi ndipo utaona manung'uniko, visa na vituko.Mwisho wa yote ni fumanizi live,message na mengineyo.Hii ni kwa kifupi tu.Bado sijakwenda mbali mpaka kwenye suala la kubambikwa watoto n.k
 
Baadhi yetu tumekuwa tunaishi tu. Hatuna mpenzi. Hatujaribu umalaya. Hatumpendi mtu. Hakuna anayetupenda. Tunajishughulisha tu na kazi zetu, tunakula, tunalala, na kuishi maisha yanasonga kiulaiiini.
 
Wewe ukiona una hasira ondoka ukapige chupa mbili tatu rudi,kupigana ni mwiko
 
Nayaona majibu ya wavulana na wanaume kwa jinsia ya kiume. Pia nayaona majibu ya wasichana na wanawake kwa jinsia ya kiume. Mimi nasema, mwanamke ndiye mwanadamu pekee aliyekutana na shetani wakapanga mipango kwa pamoja, sasa Adam alitufundisha tukilaza damu mipango mingine zaidi ya Tunda itatekelezwa na tutabaki uchi tena. Nani anataka mambo hayo?
 
Mwanaume anayempiga mkewe mangumi na mateke,wengine wanaenda mbali wanatumia hadi silaha mimi nawaona wana shida kwenye bongo zao na hawajiamini kabisaa...mwanamke ana namna yake ya kupigwa bwanaa na akapigika kwelikweli sio unambalasa kama mbwa koko ndio nini...?!

Tupigeni kwa mahaba mazito,Vito vizuri-zuri ee outing za kutosha,mapocho-pocho,.vibao/makofi nipigie kitandani sio nje kila mtu aone..
Umeongea kama dada anaejitambua vzr ...natamani uwe ni mtu wa hivi ulivyonena!
 
Sababu mfu sana. Kupigwa kwa mke na kupigana na mwanaume mwingine kuna kuja kwa mazingira tofauti na sababu tofauti.

Kuna baadhi ya wanawake usipochapa hata makofi wanakuona dhaifu na kuanza kukuzoea vibaya na kukupanda kichwani
Mkuu unapendekeza tuwabutue?
 
Kwa hili swali lako nachelea kusema kuwa ama hujaoa bado ama yamkini hujawahi ishi hata na mtoto mdogo kwa miaka kadhaa!
Oa kwanza ndio utajua kwanini wanapigwa, au panga apartment umkaribishe mpenzi wako uishi nae kwa mwaka mmoja tu awe analala na kuamkia kwako! Utayapata majibu
Umenena vyema mkuu muda si mrefu navuta jiko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom