RICARDO KAKA
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 865
- 338
Yap yap umemjibu vizuri sana!Inategemea mazingira anayoishi na kazi anayofanya, otherwise suala la mwanaume kusuka nywele halitakiwi kukuumiza sana kichwa.
Watu kama kina RICARDO KAKA kusuka nywele kwao ni kawaida tu.
Inategemea mazingira anayoishi na kazi anayofanya, otherwise suala la mwanaume kusuka nywele halitakiwi kukuumiza sana kichwa.
Watu kama kina RICARDO KAKA kusuka nywele kwao ni kawaida tu.
Ha ha haaa siyo kweli! Kwani wanawake wengi wanaopenda vazi la suluari wana homoni za kiume?wana homoni nyingi za kike!
Kweli!!?? Na ili iweje?Ili wawavutie wanaume wenzao!!
Ndiyo,kwani cha ajabu nini? Si moja ya swaga tu. Hebu vuta hisia wewe ni kijana kuanzia miaka 25-35 au 40...una moto bike yako CC 600,bomba 2 alafu ina crazy sound unakatisha mitaa ya Mbezi tangi bovu hadi Boko unaelekea kula weekendkusuka tena mwanaume.....?
Nimesema "watu kama kina ...".yupi huyo??kama ni huyu hujamtendea haki hata kidogo.. labda mleta mada..lakini mbona ye anapinga??
Ili wawavutie wanaume wenzao!!