estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
hahahaha mwanawane umetoa jibu sahii kabisaKama hadhi yako ni ya kupewa elfu 20 tatizo liko wapi?
Kwa sababu we ni mbaya halafu ni choka mbaya Wa kutupwa yaani maswaiba zako Wa saizi yako ndo wanakutongoza.Ni kawaida tu usishangaeKwa asilimia 99 wanaume wanaonitokea wengi wao ni choka mbaya halafu ndo wenye mapenzi ya kweli sijui kwanini. Ila nikimpata mwenye nazo ni mbahili, hatari ela yake kupata utaambulia elfu 30 au 20.
Hii ni kwangu tu au? Matusi sitaki pls
Kwa asilimia 99 wanaume wanaonitokea wengi wao ni choka mbaya halafu ndo wenye mapenzi ya kweli sijui kwanini. Ila nikimpata mwenye nazo ni mbahili, hatari ela yake kupata utaambulia elfu 30 au 20.