Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,495
JamaniAisee, akufukuzae hakwambii toka, ngoja nijiendee kwa jirani nikakate kiu kwanza.
Njoo unywe ndugu
JamaniAisee, akufukuzae hakwambii toka, ngoja nijiendee kwa jirani nikakate kiu kwanza.
Maji tu yanatosha, soda situmia(gi) bibie.Maji au soda jamani
[emoji120] [emoji120] [emoji125] [emoji125]Jamani
Njoo unywe ndugu
SawaMaji tu yanatosha, soda situmia(gi) bibie.
[emoji3] [emoji3]Sawa
Ila punguza kuchepuka
HahahaaaaaaKwani wanaume wakichepuka wanaenda kufanya na wanaume wenzao?
Najua huwezi acha, we punguza tuu[emoji3] [emoji3]
Afadhali umeniambia NIPUNGUZE nilifikiri utaniambia niache kabisa.[emoji41]
Hahaha, sawa bibie.Najua huwezi acha, we punguza tuu