Kwanini wanaume wanaongoza kwa kuchepuka kuliko wanawake?

Kwanini wanaume wanaongoza kwa kuchepuka kuliko wanawake?

Mi jaman mume wangu ana michepuko mikaliiiiiikwao. inajiheshimuuuuu yan mpaka raha. Sio limwanaume halina mchepuko hata mmoja kazi kushikashika makalio ya mamalishe huko kazini kwao.
hahahaha yani wewe haha umevunja videadly
 
Kwann wanawake wanaongoza kwa VIRUSI VYA UKIMWI kuliko wanaume?
 
Wanaume wanaongoza kwa kuchepuka na kutoyakaba rohoni.

Wanawake wanaongoza kuchepuka na kubaki nayo rohoni.

Ushaona nyuzi za Wanawake wakisifiana kuchepuka? Ni kwamba hawachepuki? Ni wasiri sana! Ajabu nyakati hizi Wanawake wanatuzidi Wanaume kwa usiri. ME ndio tumekuwa watu wa ngenga mingi.
 
Nikikumbuka ile takwimu ya 48% ya watoto tunaolea sio wetu, napata mashaka, ulivyosema wanaume tunaongoza kwa kuchepuka. Hapo kiufupi 48% ya wanawake walioolewa ni wachepukaji, ukijumlisha na ambao wanachepuka lakini hawajazaa na michepuko inaweza kufikia 90%. Jambo la muhimu, NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.
 
Una mada ya ajabu sana. Mwanamme anapochepuka analala na mwanamke. Wewe umepata wapi idadi ya wanaume kuchepuka sana kuliko wanawake.?

# Salum Mwalimu - Kinondoni 2018.
 
Kwasababu wanawake wengi wanapenda kuchepusha wanaume[emoji2]
 
Wanachepuka na Mbuzi?Nijuwavyo mm hii kitu lazima jinsia Mbili
 
Nikikumbuka ile takwimu ya 48% ya watoto tunaolea sio wetu, napata mashaka, ulivyosema wanaume tunaongoza kwa kuchepuka. Hapo kiufupi 48% ya wanawake walioolewa ni wachepukaji, ukijumlisha na ambao wanachepuka lakini hawajazaa na michepuko inaweza kufikia 90%. Jambo la muhimu, NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.
Aiseee
 
Back
Top Bottom