Kwanini wanaume wanaoa wanawake wa kawaida ilihali wamezoeleka kutoka na pisi kali?

Chai Maziwa

Member
Jan 24, 2022
78
443
1643782664005.png

Habari wanaJF

Leo nakuja na swali.

Imekuwa jambo la kawaida na kushangaza pale unapoona vijana mabachelor wakati wa kuoa uoa wanawake wa kawaida sana ilihali imezoeleka enzi za ujana wake hasa alikuwA akizichakata pisi kali sana. Hii imekaaje watalaam wa mambo.

Ni kwamba kuna wanawake wa kuliwa na wengine wa kuolewa au mnaangalia mengneyo likija swala la kuchakata na mengneyo likija suala la kuoa?
 
Habari wanaJF

Leo nakuja na swali.Imekuwa jambo la kawaida na kushangaza pale unapoona vijana mabachelor wakati wa kuoa uoa wanawake wa kawaida sana ilihali imezoelek enzi za ujana wake hasa alikuw akizichakata pisi kali sana. Hii imekaaje watalaam wa mambo.

Ni kwamba kuna wanawake wa kuliwa na wengne wa kuolewa au mnaangalia mengneyo likija swala la kuchakata na mengneyo likija suala la kuoa?
Nasikia eti Samaki wa pambo haliwi
 
Ukienda NgoroNgoro ama Mikumi National parks pundamilia ndio ana rangi nzuri na yakuvutia kuliko Punda wa kawaida huyu anaefugwa lakin Huyo huyo pundamilia anakaa porini

Wanaume wakienda Bar/Pub/Lounge yoyote ile kufanya starehe zao wasipoona wanawake humo ndani wazuri wa kuvutia watahama hapo ..

Ila Mwanaume Huyo huyo haoi Bar maids kwa kusema n Malaya wala mke wake au mpenzi wake hawezi kwenda Bar....
#Idiots
 
WEMA, WOLPER, JOKATE, ZARI, MOBETO, TANASHA.
Ndoa
ZUHURA (Zuchu)
 
Nilichogundua wanawake wazuri wanaolewa na wanaume wapole na walio tulia kabla ya ndoa ila wanaume mcharuko wanaoa wanawake wakawaida sana sijui wanaogopa kuchapiwa.
 
Kuna wanawake wanaitwa "wife material" hawa ndio wakuoa, Sasa wengiwao sio hao wanaitwa pisi Kali.
Lazima ujue kutofautisha.
 
Back
Top Bottom