Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,049
- 4,301
Tunachepuka kwa sababu tuna korodani inayozalisha testosterone mara ishirini zaidi ya ovary ya mwanamke.
Kwenye kende kuna chembe hai ziitwazo “interstial cells of Leydig ambazo zina pump inayoitwa testosterone pump. Hii pump ndiyo inayowasumbua wanaume.
Mwanamke akichomwa testosterone akafikia concentration kama ya mwanaume kwenye damu yake anawehuka na kuanza kuvua nguo ovyo na kuonesha sehemu zake za siri ovyo.( Manic)
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sijasema hivyo, ila maelezo ni mengi mno, we' inaonekana unahitaji 'shule' ya ziada, kuna meng bado hujafahamu
kwanini nimwambie, wakati ni usafi binafsi, namfata yule asieitaji kuambiwa
Tatizo mko wengi tutaacha vipi kuwasambazia upendo sasa! hutaki wenzako wafurahia vile kama ww unavyo furahi acha ututoe huduma tupo wachache wanaume.
Sijasema hivyo, ila maelezo ni mengi mno, we' inaonekana unahitaji 'shule' ya ziada, kuna meng bado hujafahamu
Unajiongopea. Kuna nyingine zina vuta kichizi nyingine ni kama gelesha tu
Nimeisahau aisee we Ni ipi mkuu[emoji1745]
Una uhakika??
👍Mwandiko kama unakujakuja hivi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakuja piemu
Sent using Jamii Forums mobile app
Afrika kwa ujumla we hujui mambo ya idadi ya mke/wake yameanza kipindi gani? Ni baada ya Wazungu na Waarabu kuleta Dini
Utapata tabu sana
Wanaume wa dsm mtakua Lin??Tupewe pesa ndo tutaridhika
yess BishOoo haSwaaaaaaaH[emoji111]
Hata mimi nipo single hapa.