Kwanini wanaume wanachepuka sana?

Nimekuelewa saana yaan
Kwahiyo wanawake tusiwe na wivu s ndio
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wanaume iyo ni hulka tu mrembo!!! Huwa hatuna sababu maalumu na sa nyingine hakuna sababu yoyote ni mahitaji tu ya mwili yanataka kazi mpya!!! Ata uwe mzuri vipi na pesa na tabia bado huwezi kumfanya men akatulia atatoka tu hata na beki 3.... So ukiwa na mwanamme anachepuka vumilia tu maana hakuna ambae hachepuki na mwisho atatulia mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jomon..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokana na asili na tamaduni zetu ile true love ya mke au mpenzi mmoja haipo nasi toka enzi za Mababu kabla ya Ukoloni, ndo maana Wanaume tukichepuka heshima ndani inabakia pale pale ila nyie mkichepuka kuna mabadliko ya ghafla hutokea na mapenzi yanaharibika kabisa.
 
Tatizo mko wengi tutaacha vipi kuwasambazia upendo sasa! hutaki wenzako wafurahia vile kama ww unavyo furahi acha ututoe huduma tupo wachache wanaume.
 
Historia ya wap hii
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie hata sijui kwanini nilishashindwa kuwa na demu mmoja [emoji23][emoji23]. Anyway, sincerely speaking, mie ni dhaifu sana nikiwa mbali na mpenzi wangu. Nitachepuka ila ninayechepuka naye huwa sitakahi mazoea..! Yaani ile siku nimekula mzigo namuanzishia kisa tunaachana ili asije nixoea hadi mpenzi wangu akajua.

Nikiwa na mpenzi wangu karibu ambaye nikiwa na hamu ananipa bila kinyongo, siwezi kucheat hata. Kwanza hata hii huwa nikimaliza kuchapa show naanza kujilaumu sana yaani[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…