Kwanini wanaume waliosoma 1990s Tambaza, Azania & Mkwawa wanaoa wanawake wa vijijini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wanaume waliosoma 1990s Tambaza, Azania & Mkwawa wanaoa wanawake wa vijijini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Natalia, Oct 9, 2012.

 1. N

  Natalia JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Nafikiri wa 1980s na 1990s no sense of humor .wako serious mnoo
   
 2. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Natalia is back from ban... Je na wewe ni wa kijijini nami nikuwowe as na mimi nimepita hizo shule..

  Kwanza tunaendana as we ulipigwa ban august mwaka huu na mimi nilipigwa ban august mwaka jana... So tuwowane natalia wangu
   
 3. N

  Natalia JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  I'm not attracted to black men na sijasoma africa.ila naona watu wengi Hulu USA wenye wanawake wasio jua English na very heavy accent
   
 4. k

  kisukari JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  natalia.ya kweli hayo lakini?mimi nahisi waliosoma miaka hiyo,wako mbali kimaisha.maana enzi hizo ukitajiwa hizo shule walikuwa wanasoma watu wenye akili zao.na maybe hao waliowaoa ni wake wenye maadili
   
 5. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kazi kweli kweli....mmmmhhh.
  Wapo wengi
  Yetu macho
   
 6. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Duh, nashukuru mie simo.....
   
 7. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mimi point 5 Dutch na mwafrica vipi nina nafasi..?
   
 8. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Acha umbea. Kwani unawajua wake za wanaume wote waliosoma shule hizo? Acha uvivu wa kufanya hitimisho rahisi bila utafiti kijana.
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,548
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Mutoto wa mujini!! :)

   
 10. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Natalia you are a stinking racist who does not know who she is. Utakuta huna lolote zaidi ya kujishebedua. Au tuseme ni kinyume kuwa nao hao usiovutika kwao wamekushiti hivyo ukaamua ukandie tu? Je ni jibu? Mijitu mingine kwa kuishi ndotoni na kujidanganya! To hell with your inferiority complexion my daughter.
   
 11. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  not true............:biggrin:
   
 12. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  How old are you??


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 13. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,287
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Bahati mbaya au nzuri nimesoma AZANIA but kwenye 2000s'

  Anyway Natalia angalau kidogo leo umejionyesha umri wako kwamba una-range vipi , so umesoma sekondari 80s' au 90s' ? wapi Jangwani? Zanaki? So wale wakaka wa Azania/Tambaza uliokuwa nao sekondari miaka sawa hiyo ya 80s' na 90s' wengi wameoa wa kijijini?
   
 14. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Huyu kaliwa kichwa na hao jamaa kwani ukiangalia watu wa miaka hiyo kwa sasa watakuwa kidogo na uwezo kimaisha, sasa anashangaa jamaa wanagonga wanasepa kwa wake zao, yeye na english yake anabaki anasafisha tu kikojoleo! Inabidi aconclude na research yake ya mabwana tisa wa Tambaza aliokutana nao. Hatari sana!!
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  nakuunga mkono..... Alidhani ataolewa kwa english yake ya sant naniliu............ Kumbe kuna zaidi ya hayo yanayomfanya mwanamke kuwa mke.........


  Natalia welcome back, nilimiss vimbwanga vyako......kesho tupe observation ya Udsm
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hakuna ukweli wowote wewe.
   
 17. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,287
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  na amejuaje hao wasela walisoma hizo shule kama hakuwa nao sekondari miaka sawa? so natalia kama alisoma nao shuleni miaka sawa hiyo ya 80s' au 90s so probable naty anaangukia karibia na 40s lakini still anakt like a teenager!
   
 18. mdida

  mdida JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 1,608
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  haina haja kufikiri ujinga wenye ufumbuzi! sioni kama lina ushahidi hilo.
   
 19. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,312
  Trophy Points: 280
  1) Usharo-baro na Usista-duu ulikua haujaingia bado
   
 20. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,739
  Likes Received: 8,005
  Trophy Points: 280
  Usibishane na kahaba kuhusu wanaume hata kama wewe ni mwanaume. Wewe unajijua wewe kama mwanaume, yeye anajua WANAUME.

  Anasema we have no sense of humor kwa kuwa hatum -treat kisharobaro kama madogo wenzake. Namna hii ya wanawake ndio msingi wa kuharibika kwa maadili ya jamii yetu. Anadhani na sisi tuliosoma those days tunaweza kuvaa kata k na kukumbatiana hadharani kama wanavyofanya wao.
   
Loading...