Kwanini wanaume wachache kuliko wanawake

Mungu kapanga hivyo na ndivyo ilivyo na motoni pia kutakua na wanawake wengi zaidi..kingine ile ratio ya 1:4 itatelezekaje
 
Kuna sababu nyingi
1. probability ya kupata mtoto wa kike ni kubwa kuliko wa kiume, rejea mzunguko wa hedhi wa mwanamke
2. Watoto wa kiume chini ya miaka mitano wanakufa wengi zaidi kuliko wa ke
3. Wanaume wanafanya kazi ngumu na hatarishi kama za machimbo, bodaboda nk ambazo vifo ni nje nje
Umetisha asee
 
xy&xx...xx hukaa zaidi ya 40hrs ndani uterus wall na kufanya eggs zitokapo in falopian tube mtoto wa kike kupatikana na wajua swala la uzazi wa mpango ni gumu kwa tamaduni zetu soo hufanya watoto hawa wa xx kuwa wengi na xy kuwa wachache...(emphasis added)
 
wanaume tumeumbwa mapeso utafiti unasema mimba nyingi zinazotoka ni za kiume kwaiyo wanaogopa kuja duniani kupata shida
 
Kuna sababu nyingi
1. probability ya kupata mtoto wa kike ni kubwa kuliko wa kiume, rejea mzunguko wa hedhi wa mwanamke
2. Watoto wa kiume chini ya miaka mitano wanakufa wengi zaidi kuliko wa ke
3. Wanaume wanafanya kazi ngumu na hatarishi kama za machimbo, bodaboda nk ambazo vifo ni nje nje
Kwa kuongezea
Wanaume ndio wanaopigania security ya jamii inayomzunguka....ndio wanaopigana vita so tunakufa wengi
 
Kuna sababu nyingi
1. probability ya kupata mtoto wa kike ni kubwa kuliko wa kiume, rejea mzunguko wa hedhi wa mwanamke
2. Watoto wa kiume chini ya miaka mitano wanakufa wengi zaidi kuliko wa ke
3. Wanaume wanafanya kazi ngumu na hatarishi kama za machimbo, bodaboda nk ambazo vifo ni nje nje
Pia wanaume wengi ni majizi ña majambazi pia kwa hiyo vifo vingi huwakuta huku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom