Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
- Thread starter
- #21
Raha za wapi izo[emoji1]
Raha za wapi izo[emoji1]
Hongera yakoView attachment 471394
Haya ndio mambo tunayo fanyiwa kule Tanga.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
AsanteeHamna lolote, mm nipo tanga mwaka wa tano na nimehamishia makazi huku hakuna lolote ni maneno tu.
Kikubwa wanawake wa tanga wanapenda sna mapenzi yaan unamkuta mmama saa11 jioni ameshapika, ameshaogesha watoto asuburi mumewe aje.
Akija watakaa ndani, wataangalia movie mala wacheze kalata siku ipite. Mume akinogewa anampa kamoja anaenda zake tembea kidogo akirudi mambo Mubashara chuzi shatashata.
Kinachowaponza wanawake wa bara hawana muda na waume zao, Tanga mume anapewa kipaumbele alafu Lugha sasa hawapeani maneno ya shombo na mumewe ni Mahaba tu.
Alafu cha mwisho wanajua kujistili, humkuti mwanamke alieolewa kavaa short pens anatembea barabaran hakuna mambo hayo. Wanajua kujistili na wanajua kujipodoa, sio kujipodoa kama wanawake wa dar full make-up sura nzito muda wote. Tanga mume anapakiwa wanja wa kungu na kapoda kwa mbaliii jicho tu linaongea....
Mpo hapo!!!!!
Huoni raha hapo!!Haya mimi nikipewa ntakimbia mbio na walet nitamuachia.
Mahaba gani ya kunigeuza mtoto
Nyama ya ulimi ndio iwatulizayo waume au sio [emoji1]pwani kuna mapenzi... na ulimi laiiiiinii
Haya mimi nikipewa ntakimbia mbio na walet nitamuachia.
Mahaba gani ya kunigeuza mtoto
Kiuno kinaonekana kweli?!100+ kwann
Muhim nn kwan, si kipendeze ttyu[emoji1]Kiuno kinaonekana kweli?!
Sasa 100 si mzigo hata huwezi kuvaa zile mambo za ndani nazopendaMuhim nn kwan, si kipendeze ttyu[emoji1]
Hhhmm !!!Sasa 100 si mzigo hata huwezi kuvaa zile mambo za ndani nazopenda
Ha ha ha,nmezipenda sana sifa ulizoziorodhosha,asante [emoji1] umeongea ukweli uliojificha chini kabisa.Watoto wa pwani wana balaaaa wewe,nani kasema mwanaume mgumu kutoa hela hapana.mnakurupuka sn umenipa namba tu unataka hela kwan mi zezeta!nalipia nn kwa mfano?....wanajua nn mwanaume anataka ..anakudekeza anakupa penzi nzito ...wenyewe unajichanga bila hata kuombwa..watoto wana kauli zA kutuliza,kwanini usipandwe midadi mtoto ananyo... pipe huku anakuangalia kwa macho ya aibuuuuuuuuu,mtoto mikono laini km mtoto mchanga,mtoto anaifinyia kwa ndani khaaaa si balaa hilo shehee... tukija kwa mademuzetu hawa mapenzi hawajui kazi kuomba hela tu lugha za kuombea hela zenywe hawana...linaomba hela km linakudai....pwani mwanaume mwenyewe unajisikia kuweka mshahara mezani...mwanaume unamwambia mwanamke sina hela lkn moyoni unajuta moyo unawazA ukakope wapi..huku upande wa pili ht ukisema huna hujali hana ht kitu cha msingi cha kupewa....ndo nishasema hivyo msitoe povu
Serious!Hhhmm !!!
Mi si nilithubutu kuingia mkengee nikuwa km mjinga vile...Ha ha ha,nmezipenda sana sifa ulizoziorodhosha,asante [emoji1] umeongea ukweli uliojificha chini kabisa.
Hainaga kaziSerious!
Ha ha ha ilikuajeMi si nilithubutu kuingia mkengee nikuwa km mjinga vile...
Naunga mkono hoja...Hamna lolote, mm nipo tanga mwaka wa tano na nimehamishia makazi huku hakuna lolote ni maneno tu.
Kikubwa wanawake wa tanga wanapenda sna mapenzi yaan unamkuta mmama saa11 jioni ameshapika, ameshaogesha watoto asuburi mumewe aje.
Akija watakaa ndani, wataangalia movie mala wacheze kalata siku ipite. Mume akinogewa anampa kamoja anaenda zake tembea kidogo akirudi mambo Mubashara chuzi shatashata.
Kinachowaponza wanawake wa bara hawana muda na waume zao, Tanga mume anapewa kipaumbele alafu Lugha sasa hawapeani maneno ya shombo na mumewe ni Mahaba tu.
Alafu cha mwisho wanajua kujistili, humkuti mwanamke alieolewa kavaa short pens anatembea barabaran hakuna mambo hayo. Wanajua kujistili na wanajua kujipodoa, sio kujipodoa kama wanawake wa dar full make-up sura nzito muda wote. Tanga mume anapakiwa wanja wa kungu na kapoda kwa mbaliii jicho tu linaongea....
Mpo hapo!!!!!
Mbn wapo mkuu,ukiwatafutwa kwa tochi unawapataHaya mambo yalikuwa zamani sio siku hizi bn.
Sasa mpaka kuwatafuta kwa tochi ma miangaiko ya ki maisha tuliyo nayo si ukimpata ushazeeka!.Mbn wapo mkuu,ukiwatafutwa kwa tochi unawapata