Kwanini wanaume wa bara wanapenda vidosho wa Pwani?

Sasa mpaka kuwatafuta kwa tochi ma miangaiko ya ki maisha tuliyo nayo si ukimpata ushazeeka!.
Wengi hata wale wa pwani haya mambo hawayajui kiivyo mpaka unashangaa,nishawahi kukutana na bint wa ki zenj maneno mengi nikajuwa hapa ndipo nnapopataka,lakini alikuwa mweupe kila department,udi tu ndio alichokuwa anakijua.
Hao wapwani wenyew skuizi wanaenda na wakat miongoni mwao pia ni wachache,,ktk 10 basi utakuta 5 tu ndo wanayajua hayo,,mie nipo umo ktk kundi la hao watano
 
Katika Kijiji cha Tombo, Kaunti ndogo ya Kakamega kaskazini, kuna mama mwenye upweke mwingi.

Bwanake alienda jijini Mombasa kutafuta riziki, hali ambayo imegeuka kuwa dhiki.
Bi Shikwekwe alibubujikwa na machozi alipokuwa akinihadithia jinsi bwanake alivyonaswa na kidosho wa Mombasa.

Baada ya kumsikiza kwa makini, niliamua kufanya utafiti kuhusu kwanini wanaume kutoka bara wanawapenda vidosho wa Pwani.

Ni nini ambacho wanawake wa Pwani hufanya ambacho wenzao hawajui?

Hili ndilo swali nilililowauliza wanaume ambao wamekaa Pwani kwa muda mrefu, bila kurudi nyumbani kuona familia zao.

Wanaume hao walisema kuwa mabinti wa Pwani ni warembo sana na pia wana heshima ya kupigiwa mfano.

Waliwamiminia sifa tele kama vile; kinga kwa kila ndwele, ghala la baraka, mabawabu wa penzi na chemichemi ya furaha.

Warembo wa Pwani ni vivuli juani na miavuli mvuani. Wao ni mwanga gizani, mavazi vulini na ngao vitani.

Wanafahamu fika mahitaji ya kujirembesha, na matamshi yao ni kama muziki sikioni na asali kwa ulimi wa mume.

Wanaume hao walisema kuwa wanawake wa Pwani ni amani rohoni, na pia ni kama chakula cha moyo.

“Sifa hizo ndizo sababu sitamani kurudi nyumbani. Siwezi ishi na mwanake ambaye haniheshimu, hajui kunipikia na hana madaha ndoani,” alisema mwanamume mmoja.

Aidha, walisema kuwa wanawake kutoka bara wanapaswa kuwaiga wenzao wa Pwani iwapo wanataka ndoa zao zidumu.
Wanawake wa pwan wazur kwa kudate nao sio kujenga maisha hawana mawazo yoyote katika maisha wanachojua kufukiza k! Bora mkuu uoe bara tena kaskazin!
 
Hao wapwani wenyew skuizi wanaenda na wakat miongoni mwao pia ni wachache,,ktk 10 basi utakuta 5 tu ndo wanayajua hayo,,mie nipo umo ktk kundi la hao watano
Wewe upo kati ya hao watano,mbona unajifagilia sasa.mi naona kwenye 10 wanaojua ni 2 na wote washakuwa watu wazima sasa.kama we mmoja wao itabidi nikutafute.
 
Ahhh sasa utanitafutaje,wakat ushasema wako wawil tu kwa wanaoyajua,na wote washakua watu wazima,mie si mtu mzima mbona nayajua sasa
 
Sasa nilikuwa na voice opinion yangu kwa wamebakia wawili,ya 5 ilikuwa ni yako,lakini mmh haya labda una solid background ya upwani.kwa sisi ambao tumekulia kwa kuyaona haya mambo tunaona tofauti kubwa tu.maana siku hizi hata wa bara waliokulia pwani wanajitahidi,soon watawapita wenyeji.
 
Nani kakuambia Mtu wa kazi-kazini anapenda hao unaoita vidosho wa pwani?

Nani kakuambia mwanaume wa kazi kazini anapenda mwanamke ambaye ukimwacha asbh barazani unamkuta hapohapo akipakwa rangi?

Nani kakuambia Mwanaume wa kazikazini anahitaji mwanamke anayependa kwenda saloon kuliko bank?

Nani kakuambia Mwanaume wa kazikazini anapenda mwanamke anayehusudu vigodoro kuliko semina za ujasiriamali?

Umekutana na wasukuma halafu unageneralize?

Poor you.
Mkuu ukishindwa mheshimu sizonje na Bashito Co. tuheshimu wasukuma wengine!...[HASHTAG]#jiheshimu[/HASHTAG]
 
Mm wa pwani lkn nmekulia bara..lkn ktk nilofunzwa yatabakia palepale kama ilivo aslii hakibadiliki kitu.na wala hujui kama nmekulia bara
 
Sawa bn,nasikia tamaduni za pwani watu hawazifagilii sana huko mikoani,sasa kama upo na mtu wa bara kwao mtaelewana kweli.
Umekulia bara ya wapi?
 
Ningekuwa sikuishi Tanga miaka zaidi ya kumi ningedanganyika na hizi mbwembwe zenu. Wadanganyeni wanaopenda hadithi za kufikirika.
 
kwann tusielewane mkuu,mbn kitu cha kawaida
Umekata sentensi zangu,swali lilihusu 'tamaduni' na pia nilianza 'nasikia huko mikoani'.kweli kuelewani ni kitu cha kawaida,nililenga mambo kama 'kujifukiza udi' vitu ambavyo wengi hasa toka bara wanavihusisha na mashetni,au mambo kama yasmini kitandani,upikaji wengine kutumia spices nyingi kunawazingua hivo chakula kama pilau au biriani kwao mtihani.mtu kazoea nguna alafu unampikia chila na ndizi za nazi,si mnaweza kutifuana hapo.
Then again,what do i know am just a guy!
 
Kwa hilo usijali,nmempata mbara ambae naendana nae ,na karidhika na mm na kukubaliana kwa kila kitu,sioni shida hapo mkuu
 
Back
Top Bottom