Mara nyingi wastaarabu ni boaraz; mabazazi wanawafanya wadada wawe excited, wako creative n.k!
Wastaarabu are too serious, hawajui kuonesha (kufake) kuwa wanamuworship mdada kitu ambacho players ni expert!
Ila ukipata mstaarabu halafu ni mtundu, u r blessed!
Hey,wife come back here,dadavua vyema sijakuelewa,mnapenda uongo au?
Utakuta mtu anaacha mtu mstaarabu na anaishia na mwanaume asiyekuwa na mwelekeo be show na vurugu za hapa na pale
si useme tu kaka kwa faida yako wewe mstaarabu,au wewe ni mtundu mstaarabu?labda kwa faida ya hao wastaarabu
si useme tu kaka kwa faida yako wewe mstaarabu,au wewe ni mtundu mstaarabu?
Utakuta mtu anaacha mtu mstaarabu na anaishia na mwanaume asiyekuwa na mwelekeo be show na vurugu za hapa na pale