Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,715
- 11,324
Kutongoza sawasawa na kugombea Ubunge
Kwa wazee wenzangu watakumbuka wimbo wa PENDO nadhani ilikuwa bima lee. "pendo eeh mimi mumeo kazi yangu ni kibarua wakuponda kokoto hapa mjini pendo eeh "
Jamaa alimdanganya bint kuwa ni mkurugenzi wa shirika na pia ana miradi mingi akaoa uzuri baadae ndo anaweka wazi inasikitisha ila bint aliendelea kukaa nae na kumsisitiza elimu haina mwisho.
Habari wakuu,
Naomba kujulishwa hivi ni kwanini wanaume wengi wao hawawezi kutongoza bila kuzungumza uongo? Mara nyingi wasichana wamekuwa wakilalamika kuwa vitu wanavyoambiwa wakati wa kutongoza wamekuwa hawavioni au havitekelezwi.Nimeona leo niweke hoja hii hapa ili tujadiliane tujuwe sababu.
Karibuni
Kwanini nanyi wanawake mnawakubalia wanaume kwa maneno ya uongo? Kwa nini msiyachunguze kwanza hayo mnayoambiwa ndipo mkubali? Wenye matatizo ni wanawake sio wanaume.Habari wakuu,
Naomba kujulishwa hivi ni kwanini wanaume wengi wao hawawezi kutongoza bila kuzungumza uongo? Mara nyingi wasichana wamekuwa wakilalamika kuwa vitu wanavyoambiwa wakati wa kutongoza wamekuwa hawavioni au havitekelezwi.Nimeona leo niweke hoja hii hapa ili tujadiliane tujuwe sababu.
Karibuni
Habari wakuu,
Naomba kujulishwa hivi ni kwanini wanaume wengi wao hawawezi kutongoza bila kuzungumza uongo? Mara nyingi wasichana wamekuwa wakilalamika kuwa vitu wanavyoambiwa wakati wa kutongoza wamekuwa hawavioni au havitekelezwi.Nimeona leo niweke hoja hii hapa ili tujadiliane tujuwe sababu.
Karibuni
Habari wakuu,
Naomba kujulishwa hivi ni kwanini wanaume wengi wao hawawezi kutongoza bila kuzungumza uongo? Mara nyingi wasichana wamekuwa wakilalamika kuwa vitu wanavyoambiwa wakati wa kutongoza wamekuwa hawavioni au havitekelezwi.Nimeona leo niweke hoja hii hapa ili tujadiliane tujuwe sababu.
Karibuni
Nimecheka sana hii comment yako ukweli ni huo Mwanamke wakiswahili km unamtaka kweli danganya Ukisema ukweli kwanza anakudharau Huwa kuna vitu flan wanapenda kuvickia kwa mtu anaeAply mzigo