Kwanini wanaume hawapendi ivi?

dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
4,056
5,498
Natumaini muwazima wa afya njema,


Ni katika suala ambalo mwanamume analichukia kupita maelezo.

Mwanamume ukimgusa ama kumshika sehemu ya makalio hakika hamtoelewana kabisa.


Hata kama ni wanandoa, mke akitaka kukugusa nyuma mtagombana aisee.

Lakini mwanamke yeye akishikwa wala hamna tatizo lolote lile, anajiskia faraja tu.

Mimi mwenyewe binafsi sipendi kabisa, hata mke hawezi nigusa.

Sasa hili tatizo chanzo chake ninini , na nikwanini imetokea tunachukia kuguswa hiyo sehemu.
 
Me mke wangu ruksa Kushika sehemu yoyote ya.mwili yangu na ni haki yake kama mimi nilivo na haki ya kutouch mwili wake sehemu yoyote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom