Kwanini wanaume hawapendi ivi?

Nasikia wengine huwa wanachomekwa hadi kidole na wanawake.Wanaita suna wakati wa kufanya mapenzi.Huu si mwanzo wa ushwaini huu
Tafadhali usiingize masuala ya dini,,,Sunna umemaanisha dini ya kiislam,,,usitangazie vitu ambavyo huna uhakika navyo na kuchafua dini ya kiislam
 
Tafadhali usiingize masuala ya dini,,,Sunna umemaanisha dini ya kiislam,,,usitangazie vitu ambavyo huna uhakika navyo na kuchafua dini ya kiislam
Hapana mkuu suna ni neno la kiarabu na si la kiislamu.Usinielewe vibaya
 
Natumaini muwazima wa afya njema,

Ni katika suala ambalo mwanamume analichukia kupita maelezo.

Mwanamume ukimgusa ama kumshika sehemu ya makalio hakika hamtoelewana kabisa.

Hata kama ni wanandoa, mke akitaka kukugusa nyuma mtagombana aisee.

Lakini mwanamke yeye akishikwa wala hamna tatizo lolote lile, anajiskia faraja tu.

Mimi mwenyewe binafsi sipendi kabisa, hata mke hawezi nigusa.

Sasa hili tatizo chanzo chake ninini , na nikwanini imetokea tunachukia kuguswa hiyo sehemu.
Kwani mkeo akikushika utadhurika nini??
 
Hapana mkuu suna ni neno la kiarabu na si la kiislamu.Usinielewe vibaya
Neno Sunna asili yake liko kwny uislam na linalenga tabia za Mtume Muhammad S.A.W,,kwahiyo ujue ili next time usilitamke kwny upuuzi
 
Neno Sunna asili yake liko kwny uislam na linalenga tabia za Mtume Muhammad S.A.W,,kwahiyo ujue ili next time usilitamke kwny upuuzi
acha kupotosha hilo ni neno la kiarabu hata kama linatumika kulenga tabia za mtume lkn ni lugha kama zilivyo lugha zingine!!
Hakuna lugha ya kiislam duniani ndg
 
acha kupotosha hilo ni neno la kiarabu hata kama linatumika kulenga tabia za mtume lkn ni lugha kama zilivyo lugha zingine!!
Hakuna lugha ya kiislam duniani ndg
Kiarabu ni lugha ya kiislam,,usipayukwe,,Wewe mwenyewe waonyesha mlokole,,hujui lolote khs kiarabu na uislamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom