Kwanini wanaume hawapendi ivi?

Kiarabu ni lugha ya kiislam,,usipayukwe,,Wewe mwenyewe waonyesha mlokole,,hujui lolote khs kiarabu na uislamu
Kwa hiyo kuna lugha ya kikristo na kiuslam...? Sema kiarabu ni lugha Ila inatumika ktk uislam kama ambavyo kiingereza kinatumika ktk ukristo!!
Tatizo huelewi chochote Ila umekaririshwa ajabu zaid umeenda chuo ukapata degree ...chuo gani Madrasa
 
Hahahahaha
Hapana kwa kwel me siwez kubali guswa kizembe namna hyo
Aniguse ili??
 
Kwa hiyo kuna lugha ya kikristo na kiuslam...? Sema kiarabu ni lugha Ila inatumika ktk uislam kama ambavyo kiingereza kinatumika ktk ukristo!!
Tatizo huelewi chochote Ila umekaririshwa ajabu zaid umeenda chuo ukapata degree ...chuo gani Madrasa
Nyinyi wa kudandiadandia tushamizoea.....fikra zako potofu na chuki juu ya uislam ndo asili yako
 
Natumaini muwazima wa afya njema,

Ni katika suala ambalo mwanamume analichukia kupita maelezo.

Mwanamume ukimgusa ama kumshika sehemu ya makalio hakika hamtoelewana kabisa.

Hata kama ni wanandoa, mke akitaka kukugusa nyuma mtagombana aisee.

Lakini mwanamke yeye akishikwa wala hamna tatizo lolote lile, anajiskia faraja tu.

Mimi mwenyewe binafsi sipendi kabisa, hata mke hawezi nigusa.

Sasa hili tatizo chanzo chake ninini , na nikwanini imetokea tunachukia kuguswa hiyo sehemu.
kuguswa makalio au 0713 fafanua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom