Kwanini wanaolalamika sana awamu hii ni wale waliopata kuwa vigogo ndani ya chama na Serikali au watoto wao?

Nimejaribu kufuatilia kwa muda mrefu sasa, hili kundi la watu wachache wanaopigia kelele utendaji wa serikali ya awamu tano, nikagundua kuwa wengi wao ni wale walipata kuwa vigogo kwa muda mrefu ndani ya chama tawala na serikali katika awamu zilizopita ambao tayari walikuwa wameshasimika mizizi yao katika mkondo wa upigaji, na wengine ni watoto wa vigogo hao au ndugu zao wa karibu walioathirika na maboresho ya mfumo mpya.

Najiuliza wakati wananchi wengi wanyonge walipokuwa wakilalamikia ugumu wa maisha, na kuomba mabadiliko makubwa ya kiuongozi serikalini hawa watu walikuwa wapi? Mbona hawakupiga kelele kama wanavyofanya sasa, wakati wanyonge wengi wakiwa wameridhika na nama serikali hii inavyoendeshwa?

Je, wakati rushwa ikiwa imetamalaki, huduma za msingi za kijamii kama vile afya zikiwa zinatolewa zaidi kwa walionacho; hawa wanaojiita Wanaharakati wa haki za binadamu walikuwa wapi? Je, kupata huduma bora za afya na huduma nyinginezo za kijamii si mambo yanayowahusu?

Tukumbuke vurugu zote za uchaguzi wa 2015 zilitokana na kile kilichodaiwa kuwa ni watu kuchoshwa na ugumu wa maisha, rushwa iliyokithiri na mengineyo, ambayo kwa awamu hii yamefanyiwa kazi kwa kiasi kikubwa; kipindi hicho wanaolalamika sasa walikaa kimya, na hawakuona kuwa hali hiyo ilihitaji kuisemea.

Tuliolalamikia mfumo uliopita, tujikumbushe tuliomba tupate nini kutoka kwa Rais ajaye, na kama tumekipata au laa; na tuwapuuze wanaotaka kutuvuruga.

Wote hao walikuwa “MANYANGAU” ila sasa wamepata kiboko yao Rais Dr J. P. J. Magufuli! walikuwa mabeberu, beberu siyo lazima atoke Ulaya, Marekani, Russia, China ila walitoka humuhumuuuu!!sasa wanaisoma namba na ni bado saaaaaana!
 
Wakati ule nilikuwa nalima mahindi na kuyauza mabichi. Kwa siku niliuza hadi mahindi 700. Hali ilishuka hadi mahindi 70 tu na mwisho ikawa kuuza ni kubahatisha. Nimeacha hiyo biashara.
Kusema kila anayefilisika alikuwa fisadi ni ujinga na kukosa maarifa. Muhimu nj mufikiri cha kufanya

Mkuu

Haya majamaa ni maongo!

Yanasukuma hii habari wakati wananchi tunaumia hali zetu mbaya!

Vipato vimepungua sana!
 
Cheupe dawa mambo yanayomkumba cheusi mangala kuyajua itakuchukua muda sana.
(Mwenzako akinyolewa zako tia Maji)

Ni mimi Maliyatabu Mnyonge, kutoka kijiji cha Giningi nasubiri mill. 50 zangu na Noah.
Karibu kijijini kwetu nikufundishe kulima zao la 'koro-show.'
 
hata zama za maisha bora kwa kila mtanzania(JK regime) malalamiko yalikuwa hayahaya tofauti ni kwamba untouchable wamekuwa touchable sasa wanarukaruka kama bisi maana hawakuzoea haya mambo.

KANYAGA TWENDE AWAMU YA TANO.

Haya yamezidi!

Na kibaya zaidi mnasema uongo!

Eti wananchi mil60 tulikua majambazi ndio maana tunalalamika!

Unafiki kabisa!

Mkuu volume ya hela imeisha kwenye mzunguko!

Watu vipato vimepungua!

Hali sio nzuri kabisa!

Halafu mnakuja hapa na uongo eti tulikua majambazi???

Really?

Matak@ yenu vich@@ nyie!
 
Nimejaribu kufuatilia kwa muda mrefu sasa, hili kundi la watu wachache wanaopigia kelele utendaji wa serikali ya awamu tano, nikagundua kuwa wengi wao ni wale walipata kuwa vigogo kwa muda mrefu ndani ya chama tawala na serikali katika awamu zilizopita ambao tayari walikuwa wameshasimika mizizi yao katika mkondo wa upigaji, na wengine ni watoto wa vigogo hao au ndugu zao wa karibu walioathirika na maboresho ya mfumo mpya.

Najiuliza wakati wananchi wengi wanyonge walipokuwa wakilalamikia ugumu wa maisha, na kuomba mabadiliko makubwa ya kiuongozi serikalini hawa watu walikuwa wapi? Mbona hawakupiga kelele kama wanavyofanya sasa, wakati wanyonge wengi wakiwa wameridhika na nama serikali hii inavyoendeshwa?

Je, wakati rushwa ikiwa imetamalaki, huduma za msingi za kijamii kama vile afya zikiwa zinatolewa zaidi kwa walionacho; hawa wanaojiita Wanaharakati wa haki za binadamu walikuwa wapi? Je, kupata huduma bora za afya na huduma nyinginezo za kijamii si mambo yanayowahusu?

Tukumbuke vurugu zote za uchaguzi wa 2015 zilitokana na kile kilichodaiwa kuwa ni watu kuchoshwa na ugumu wa maisha, rushwa iliyokithiri na mengineyo, ambayo kwa awamu hii yamefanyiwa kazi kwa kiasi kikubwa; kipindi hicho wanaolalamika sasa walikaa kimya, na hawakuona kuwa hali hiyo ilihitaji kuisemea.

Tuliolalamikia mfumo uliopita, tujikumbushe tuliomba tupate nini kutoka kwa Rais ajaye, na kama tumekipata au laa; na tuwapuuze wanaotaka kutuvuruga.
mtaani huku kuna mama lishe kibao wamefunga biashara hakuna wateja
hivyo basi wanalalamika sana.
je nao walikuwa watoto wa vigogo?
acheni ujinga kama wa makonda akiuliza cheti anasema wauza dawa za kulevya,
cha msingi nchi imeyumba
 
Eti Dada una boyfriend? Mimi nakutaka
huyu sio mwanamke ni mwanamme ,
hawa ndio wale vijana ambao wameaumua kuudha utu wao kwa wanasiasa na kuja mitandaoni kutoa post za kijinga za kusifia upumbavu wa wanasiasa kwa malipo ya buku 5 kwa siku, wapo wengi sana
huku kwenye mitandao
 
Nimejaribu kufuatilia kwa muda mrefu sasa, hili kundi la watu wachache wanaopigia kelele utendaji wa serikali ya awamu tano, nikagundua kuwa wengi wao ni wale walipata kuwa vigogo kwa muda mrefu ndani ya chama tawala na serikali katika awamu zilizopita ambao tayari walikuwa wameshasimika mizizi yao katika mkondo wa upigaji, na wengine ni watoto wa vigogo hao au ndugu zao wa karibu walioathirika na maboresho ya mfumo mpya.

Najiuliza wakati wananchi wengi wanyonge walipokuwa wakilalamikia ugumu wa maisha, na kuomba mabadiliko makubwa ya kiuongozi serikalini hawa watu walikuwa wapi? Mbona hawakupiga kelele kama wanavyofanya sasa, wakati wanyonge wengi wakiwa wameridhika na nama serikali hii inavyoendeshwa?

Je, wakati rushwa ikiwa imetamalaki, huduma za msingi za kijamii kama vile afya zikiwa zinatolewa zaidi kwa walionacho; hawa wanaojiita Wanaharakati wa haki za binadamu walikuwa wapi? Je, kupata huduma bora za afya na huduma nyinginezo za kijamii si mambo yanayowahusu?

Tukumbuke vurugu zote za uchaguzi wa 2015 zilitokana na kile kilichodaiwa kuwa ni watu kuchoshwa na ugumu wa maisha, rushwa iliyokithiri na mengineyo, ambayo kwa awamu hii yamefanyiwa kazi kwa kiasi kikubwa; kipindi hicho wanaolalamika sasa walikaa kimya, na hawakuona kuwa hali hiyo ilihitaji kuisemea.

Tuliolalamikia mfumo uliopita, tujikumbushe tuliomba tupate nini kutoka kwa Rais ajaye, na kama tumekipata au laa; na tuwapuuze wanaotaka kutuvuruga.
Dada cheupedawa nisikilize kidogo . Jamaa yako almost nusu ya watu hawakumchagua 2015. Na hawawezi kumpenda overnight . Afanye kazi na wananchi watampima na ikiwezekana watampenda.

Kosa kubwa la utawala huu ni ni kujaribu kunyamazisha wakosoaji wake. Hata wale waliopo kikatiba eg wabunge, madiwani na viongozi wa vyama vya upinzani.
Kunyamazisha wale wanaoikosoa ilitakiwa ifanywe na kazi nzuri kwa wananchi tena bila shurti.

Nchi zinazoongozwa kidikteta hazina mafanikio popote duniani. Tujifunze kabla hatujaamua kurudi kuongozwa ki communist. Ambako ama atukuzwe kiongozi au chama tawala !! .
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Acheni ujinga bwana.
Nchi nzima wanalalamika?
Acheni hii stupid narrative!

Waache hii stupid narrative!

Wanataka kuhamisha incompetence yao ya kufanya uchumi usiwe mzuri kwamba ni kosa letu sisi wananchi na wala sio wao!

Ni kosa letu sisi wananchi milioni 60 sababu zamani ya JK tulikua mafisadi!

Majinga haya!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huu utafiti uliufanya lini na wapi na ukubwa wa sample yako ulikuwa upi!?

Nimejaribu kufuatilia kwa muda mrefu sasa, hili kundi la watu wachache wanaopigia kelele utendaji wa serikali ya awamu tano, nikagundua kuwa wengi wao ni wale walipata kuwa vigogo kwa muda mrefu ndani ya chama tawala na serikali katika awamu zilizopita ambao tayari walikuwa wameshasimika mizizi yao katika mkondo wa upigaji, na wengine ni watoto wa vigogo hao au ndugu zao wa karibu walioathirika na maboresho ya mfumo mpya.

Najiuliza wakati wananchi wengi wanyonge walipokuwa wakilalamikia ugumu wa maisha, na kuomba mabadiliko makubwa ya kiuongozi serikalini hawa watu walikuwa wapi? Mbona hawakupiga kelele kama wanavyofanya sasa, wakati wanyonge wengi wakiwa wameridhika na nama serikali hii inavyoendeshwa?

Je, wakati rushwa ikiwa imetamalaki, huduma za msingi za kijamii kama vile afya zikiwa zinatolewa zaidi kwa walionacho; hawa wanaojiita Wanaharakati wa haki za binadamu walikuwa wapi? Je, kupata huduma bora za afya na huduma nyinginezo za kijamii si mambo yanayowahusu?

Tukumbuke vurugu zote za uchaguzi wa 2015 zilitokana na kile kilichodaiwa kuwa ni watu kuchoshwa na ugumu wa maisha, rushwa iliyokithiri na mengineyo, ambayo kwa awamu hii yamefanyiwa kazi kwa kiasi kikubwa; kipindi hicho wanaolalamika sasa walikaa kimya, na hawakuona kuwa hali hiyo ilihitaji kuisemea.

Tuliolalamikia mfumo uliopita, tujikumbushe tuliomba tupate nini kutoka kwa Rais ajaye, na kama tumekipata au laa; na tuwapuuze wanaotaka kutuvuruga.
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👊🏽👊🏽👊🏽👍🏽

Waache hii stupid narrative!

Wanataka kuhamisha incompetence yao ya kufanya uchumi usiwe mzuri kwamba ni kosa letu sisi wananchi na wala sio wao!

Ni kosa letu sisi wananchi milioni 60 sababu zamani ya JK tulikua mafisadi!

Majinga haya!
 
Kakurupuka!!!

Kwa hiyo hali ya maisha ya wanyonge ni nzuri sana awamu hii? maisha yamekuwa bora kwa mtanzania? Kipato cha mtanzania kumekua? Biashara zimeshamiri? Ajira zipo kila kona eeeehh au ndo unajitoa ufahamu kama huoni hali halisi inavyitisha mtaani
 
Awazalo mtu kichwani ndilo linalomtokea na aisifiaye mvua basi imenyea lakini kwa uzi huu nadhani huyu mwandishi ana mahitaji yake binafsi sio kwa kuchombeza huku wakati kila kitu kiko wazi.

Kubwa kumuombea bwana Yesu ampe naye matatizo kama wanayopewa wenziwe au jamaa zake kisha aangalie hii nadharia ya hapa na ukweli halisi unafanana au midhali yakuwa ana bando na jf ipo mwache aandike, Usinenee baya la mwenzako ukamaliza na maneno kumbuka hujafa hujaumbuka na wanadamu wameumbiwa matatizo
 
Haya yamezidi!

Na kibaya zaidi mnasema uongo!

Eti wananchi mil60 tulikua majambazi ndio maana tunalalamika!

Unafiki kabisa!

Mkuu volume ya hela imeisha kwenye mzunguko!

Watu vipato vimepungua!

Hali sio nzuri kabisa!

Halafu mnakuja hapa na uongo eti tulikua majambazi???

Really?

Matak@ yenu vich@@ nyie!
haijaanza leo na haitokwisha kesho.

hata mkimpa mbowe leo hahhahahhahahhahah japo haiwezi kutokea kamwe
 
Hebu tuwekee research yako hapa utuambie umeifanyia wapi? Sample walikuwa kina nani? Methodology gani ulitumia? Hivi vi mada vyenu vya kubumba haviwasaidii, watu nchi nzima wanalia pesa hakuna, ajira hakuna, biashara hakuna, malipo kwa wakulima wa tumbaku, Korosho, pamba hawajalipwa wote hawa walikuwa vigogo au watoto wa vigogo? Au wote hao walikuwa wapigaji au wauza madawa? Makamongo ni empty head kabisa a.k.a.tabulalasa.
 
Nukuu
4. Vijana waliomaliza Vyuo Vikuu ambao wamekosa kazi kwa miaka 3 kwa vile Serikali haitoi ajira na Sekta binafsi hazina ajira

Nina watu nawajua walimaliza chuo 2008 mpaka leo hawajawahi kuajiriwa wameamua sasa kufanya shughuli zao......2008 zilikuwa zama za mwanzo kabisa za JK.....tusiwe wasahaulifu
 
Back
Top Bottom