Kwanini wanaolalamika sana awamu hii ni wale waliopata kuwa vigogo ndani ya chama na Serikali au watoto wao?

tatizo lenu lingine kubwa kila mtu kageuka kuwa statician....inasikitisha sana.

Statistician?

Really?

Takwimu zenu wenyewe kutoka BOT,NBS na halmashauri zenu huko!

Takwimu za mashirika ya hiyari!

Takwimu za mashirika ya nje pia!

Nani Statistician?

Namba zinaongea na wala sio sisi maana watu wana tabia za kudanganya!

Hatukatai msimpende Jiwe,mpendeni tani yenu!Shida hadi mnadanganya kumfurahisha!

Such a colossal dishonesty on your part!
 
Back
Top Bottom