Kwanini wanaolalamika sana awamu hii ni wale waliopata kuwa vigogo ndani ya chama na Serikali au watoto wao?

cheupedawa_

Member
Joined
Aug 12, 2019
Messages
20
Points
45

cheupedawa_

Member
Joined Aug 12, 2019
20 45
Nimejaribu kufuatilia kwa muda mrefu sasa, hili kundi la watu wachache wanaopigia kelele utendaji wa serikali ya awamu tano, nikagundua kuwa wengi wao ni wale walipata kuwa vigogo kwa muda mrefu ndani ya chama tawala na serikali katika awamu zilizopita ambao tayari walikuwa wameshasimika mizizi yao katika mkondo wa upigaji, na wengine ni watoto wa vigogo hao au ndugu zao wa karibu walioathirika na maboresho ya mfumo mpya.

Najiuliza wakati wananchi wengi wanyonge walipokuwa wakilalamikia ugumu wa maisha, na kuomba mabadiliko makubwa ya kiuongozi serikalini hawa watu walikuwa wapi? Mbona hawakupiga kelele kama wanavyofanya sasa, wakati wanyonge wengi wakiwa wameridhika na nama serikali hii inavyoendeshwa?

Je, wakati rushwa ikiwa imetamalaki, huduma za msingi za kijamii kama vile afya zikiwa zinatolewa zaidi kwa walionacho; hawa wanaojiita Wanaharakati wa haki za binadamu walikuwa wapi? Je, kupata huduma bora za afya na huduma nyinginezo za kijamii si mambo yanayowahusu?

Tukumbuke vurugu zote za uchaguzi wa 2015 zilitokana na kile kilichodaiwa kuwa ni watu kuchoshwa na ugumu wa maisha, rushwa iliyokithiri na mengineyo, ambayo kwa awamu hii yamefanyiwa kazi kwa kiasi kikubwa; kipindi hicho wanaolalamika sasa walikaa kimya, na hawakuona kuwa hali hiyo ilihitaji kuisemea.

Tuliolalamikia mfumo uliopita, tujikumbushe tuliomba tupate nini kutoka kwa Rais ajaye, na kama tumekipata au laa; na tuwapuuze wanaotaka kutuvuruga.
 
Songambele

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Messages
4,381
Points
2,000

Songambele

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2007
4,381 2,000
Labda tukukumbushe mishetani inayojifanya imegeuka kuwa malaika ghafla, tunaanzia na Jiwe halafu DAB wewe ni Kama polepole na CCM ni ileile.
Tuacheni tuwakosoe ili muwe Bora zaidi
Nimejaribu kufuatilia kwa muda mrefu sasa, hili kundi la watu wachache wanaopigia kelele utendaji wa serikali ya awamu tano, nikagundua kuwa wengi wao ni wale walipata kuwa vigogo kwa muda mrefu ndani ya chama tawala na serikali katika awamu zilizopita ambao tayari walikuwa wameshasimika mizizi yao katika mkondo wa upigaji, na wengine ni watoto wa vigogo hao au ndugu zao wa karibu walioathirika na maboresho ya mfumo mpya.

Najiuliza wakati wananchi wengi wanyonge walipokuwa wakilalamikia ugumu wa maisha, na kuomba mabadiliko makubwa ya kiuongozi serikalini hawa watu walikuwa wapi? Mbona hawakupiga kelele kama wanavyofanya sasa, wakati wanyonge wengi wakiwa wameridhika na nama serikali hii inavyoendeshwa?

Je, wakati rushwa ikiwa imetamalaki, huduma za msingi za kijamii kama vile afya zikiwa zinatolewa zaidi kwa walionacho; hawa wanaojiita Wanaharakati wa haki za binadamu walikuwa wapi? Je, kupata huduma bora za afya na huduma nyinginezo za kijamii si mambo yanayowahusu?

Tukumbuke vurugu zote za uchaguzi wa 2015 zilitokana na kile kilichodaiwa kuwa ni watu kuchoshwa na ugumu wa maisha, rushwa iliyokithiri na mengineyo, ambayo kwa awamu hii yamefanyiwa kazi kwa kiasi kikubwa; kipindi hicho wanaolalamika sasa walikaa kimya, na hawakuona kuwa hali hiyo ilihitaji kuisemea.

Tuliolalamikia mfumo uliopita, tujikumbushe tuliomba tupate nini kutoka kwa Rais ajaye, na kama tumekipata au laa; na tuwapuuze wanaotaka kutuvuruga.
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
8,128
Points
2,000

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
8,128 2,000
naona unawaza tikiti wewe
Nawaza “tikiti” ndio nini?

Kwanini una propagate narrative ya uongo wewe mwanamke?

Huna hata haya!?

Hatukatai unampenda Jiwe,mpende kadiri unavyotaka,ila usiwe muongo na hypocrite!

Kua mkweli!

Yaani tunavyolalamika purichase power imetuishia huku mtaani sisi tulikua mafisadi humo serikalini?

Tupo milioni 60,wafanyakazi wa serikali ni laki 3 tu

Hivi tunaolalamika tulishawahi hata kua humo serikalini kweli?

Shame on you!
 
Maharo

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2016
Messages
3,152
Points
2,000

Maharo

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2016
3,152 2,000
Acheni ujinga bwana!

Nchi nzima walikua vigogo?

Acheni hii stupid narrative!

Hali ni mbaya na uchumi ni mbovu kabisa sababu ya bad decisions!
hata zama za maisha bora kwa kila mtanzania(JK regime) malalamiko yalikuwa hayahaya tofauti ni kwamba untouchable wamekuwa touchable sasa wanarukaruka kama bisi maana hawakuzoea haya mambo.

KANYAGA TWENDE AWAMU YA TANO.
 
Tukundane

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Messages
10,377
Points
2,000

Tukundane

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2012
10,377 2,000
Wamegundua kuwa mtu waliyemuweka madarakani kwa mbwembwe nyingi hakuwa chaguo sahihi la kuwaletea maisha bora wananchi,kwa kuwa hali imekuwa mbaya zaidi tofauti na mwanzo,kwa kuwa wananchi wamegeuzwa kuwa vitega uchumi vyake vya kufanyia maendeleo kijijini kwake.
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Messages
2,467
Points
2,000

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2011
2,467 2,000
Nimejaribu kufuatilia kwa muda mrefu sasa, hili kundi la watu wachache wanaopigia kelele utendaji wa serikali ya awamu tano, nikagundua kuwa wengi wao ni wale walipata kuwa vigogo kwa muda mrefu ndani ya chama tawala na serikali katika awamu zilizopita ambao tayari walikuwa wameshasimika mizizi yao katika mkondo wa upigaji, na wengine ni watoto wa vigogo hao au ndugu zao wa karibu walioathirika na maboresho ya mfumo mpya.

Najiuliza wakati wananchi wengi wanyonge walipokuwa wakilalamikia ugumu wa maisha, na kuomba mabadiliko makubwa ya kiuongozi serikalini hawa watu walikuwa wapi? Mbona hawakupiga kelele kama wanavyofanya sasa, wakati wanyonge wengi wakiwa wameridhika na nama serikali hii inavyoendeshwa?

Je, wakati rushwa ikiwa imetamalaki, huduma za msingi za kijamii kama vile afya zikiwa zinatolewa zaidi kwa walionacho; hawa wanaojiita Wanaharakati wa haki za binadamu walikuwa wapi? Je, kupata huduma bora za afya na huduma nyinginezo za kijamii si mambo yanayowahusu?

Tukumbuke vurugu zote za uchaguzi wa 2015 zilitokana na kile kilichodaiwa kuwa ni watu kuchoshwa na ugumu wa maisha, rushwa iliyokithiri na mengineyo, ambayo kwa awamu hii yamefanyiwa kazi kwa kiasi kikubwa; kipindi hicho wanaolalamika sasa walikaa kimya, na hawakuona kuwa hali hiyo ilihitaji kuisemea.

Tuliolalamikia mfumo uliopita, tujikumbushe tuliomba tupate nini kutoka kwa Rais ajaye, na kama tumekipata au laa; na tuwapuuze wanaotaka kutuvuruga.
Wewe mtoa mada ni mnafiki kama unadhani wanaolalamikia utendaji wa Awamu ya 5 ni viongozi na watoto wao. Nitakutajia makundi matano tu uniambie hao viongozi wako wapi kwenye haya makundi;
1. Watumishi wa Serikali hawajapata stahili zo za kupanda madaraja kwa miaka 3
2. Wakulima wa korosho ambao korosho zao bado zimo ndani na msimu mpya unakaribia kuanza
3. Wakulima wa mahindi mikoa ya Kusini na Nyanda za Juu ambao gunia la Mahindi liliteremka gadi Tsh 20,000 kutokaTsh 60,000 na Wakulima wa kunde na mbaazi ambao bei ya mazao yao imeteremka
4. Vijana waliomaliza Vyuo Vikuu ambao wamekosa kazi kwa miaka 3 kwa vile Serikali haitoi ajira na Sekta binafsi hazina ajira
5. Wananchi wanaolalamika dhidi ya Polisi kuwakamata waatu na kuwafungulia kesi wakati upelelezi unaendelea
6. Wananchi waliokuwa wamejenga kando ya Barabara ya Morogoro eneo la Ubungo hadi Kibamba ambao nyumba zao zimebomolewa bila fidia
7.Namna Serikali inavyotunga Sheria za dharula kukandamiza uhuru wa kujieleza
8. Namna Serikali inavyodharau Bunge kwa kuliamrisha kwa remote control
9. Vyama vya upinzani kukosa ruhusa ya kikatiba kufanya shughuli zao za mikutano huku CCM ikiendelea
10. Wanafunzi wa kike waliopata mimba wakiwa shuleni kunyimwa namna ya kuendelea namasomo
 
mzamifu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2010
Messages
4,583
Points
2,000

mzamifu

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2010
4,583 2,000
Wakati ule nilikuwa nalima mahindi na kuyauza mabichi. Kwa siku niliuza hadi mahindi 700. Hali ilishuka hadi mahindi 70 tu na mwisho ikawa kuuza ni kubahatisha. Nimeacha hiyo biashara.
Kusema kila anayefilisika alikuwa fisadi ni ujinga na kukosa maarifa. Muhimu nj mufikiri cha kufanya
Ni hii narrative ya uongo mnayo propagate eti tunaolia hali ya maisha nj mbaya eti tulikua mafisadi!

Yaani mimi mkulima nilikua fisadi serikalini lini!?

Wananchi tunapata shida!

Na hii narrative ya kijinga muache!

Wananchi wote walikua mafisadi?
 
murongo munene 2019

Senior Member
Joined
Jul 16, 2019
Messages
128
Points
250

murongo munene 2019

Senior Member
Joined Jul 16, 2019
128 250
Nimejaribu kufuatilia kwa muda mrefu sasa, hili kundi la watu wachache wanaopigia kelele utendaji wa serikali ya awamu tano, nikagundua kuwa wengi wao ni wale walipata kuwa vigogo kwa muda mrefu ndani ya chama tawala na serikali katika awamu zilizopita ambao tayari walikuwa wameshasimika mizizi yao katika mkondo wa upigaji, na wengine ni watoto wa vigogo hao au ndugu zao wa karibu walioathirika na maboresho ya mfumo mpya.

Najiuliza wakati wananchi wengi wanyonge walipokuwa wakilalamikia ugumu wa maisha, na kuomba mabadiliko makubwa ya kiuongozi serikalini hawa watu walikuwa wapi? Mbona hawakupiga kelele kama wanavyofanya sasa, wakati wanyonge wengi wakiwa wameridhika na nama serikali hii inavyoendeshwa?

Je, wakati rushwa ikiwa imetamalaki, huduma za msingi za kijamii kama vile afya zikiwa zinatolewa zaidi kwa walionacho; hawa wanaojiita Wanaharakati wa haki za binadamu walikuwa wapi? Je, kupata huduma bora za afya na huduma nyinginezo za kijamii si mambo yanayowahusu?

Tukumbuke vurugu zote za uchaguzi wa 2015 zilitokana na kile kilichodaiwa kuwa ni watu kuchoshwa na ugumu wa maisha, rushwa iliyokithiri na mengineyo, ambayo kwa awamu hii yamefanyiwa kazi kwa kiasi kikubwa; kipindi hicho wanaolalamika sasa walikaa kimya, na hawakuona kuwa hali hiyo ilihitaji kuisemea.

Tuliolalamikia mfumo uliopita, tujikumbushe tuliomba tupate nini kutoka kwa Rais ajaye, na kama tumekipata au laa; na tuwapuuze wanaotaka kutuvuruga.
Kwa hiyo hali ya maisha ya wanyonge ni nzuri sana awamu hii? maisha yamekuwa bora kwa mtanzania? Kipato cha mtanzania kumekua? Biashara zimeshamiri? Ajira zipo kila kona eeeehh au ndo unajitoa ufahamu kama huoni hali halisi inavyitisha mtaani
 
kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Messages
2,514
Points
2,000

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2011
2,514 2,000
Nimejaribu kufuatilia kwa muda mrefu sasa, hili kundi la watu wachache wanaopigia kelele utendaji wa serikali ya awamu tano, nikagundua kuwa wengi wao ni wale walipata kuwa vigogo kwa muda mrefu ndani ya chama tawala na serikali katika awamu zilizopita ambao tayari walikuwa wameshasimika mizizi yao katika mkondo wa upigaji, na wengine ni watoto wa vigogo hao au ndugu zao wa karibu walioathirika na maboresho ya mfumo mpya.

Najiuliza wakati wananchi wengi wanyonge walipokuwa wakilalamikia ugumu wa maisha, na kuomba mabadiliko makubwa ya kiuongozi serikalini hawa watu walikuwa wapi? Mbona hawakupiga kelele kama wanavyofanya sasa, wakati wanyonge wengi wakiwa wameridhika na nama serikali hii inavyoendeshwa?

Je, wakati rushwa ikiwa imetamalaki, huduma za msingi za kijamii kama vile afya zikiwa zinatolewa zaidi kwa walionacho; hawa wanaojiita Wanaharakati wa haki za binadamu walikuwa wapi? Je, kupata huduma bora za afya na huduma nyinginezo za kijamii si mambo yanayowahusu?

Tukumbuke vurugu zote za uchaguzi wa 2015 zilitokana na kile kilichodaiwa kuwa ni watu kuchoshwa na ugumu wa maisha, rushwa iliyokithiri na mengineyo, ambayo kwa awamu hii yamefanyiwa kazi kwa kiasi kikubwa; kipindi hicho wanaolalamika sasa walikaa kimya, na hawakuona kuwa hali hiyo ilihitaji kuisemea.

Tuliolalamikia mfumo uliopita, tujikumbushe tuliomba tupate nini kutoka kwa Rais ajaye, na kama tumekipata au laa; na tuwapuuze wanaotaka kutuvuruga.
Eti Dada una boyfriend? Mimi nakutaka
 
Forum statistics

Threads 1,392,838
Members 528,729
Posts 34,119,285
Top