Weitaaa mletee mtoa mada Safari ya moto...safari moja huanzisha nyingine
Ni kweli kabisa,ulabu,bangi vinatoa sana stress na kukuhamisha ktk sayari nyingine hata kama huna cent utajiona wewe ni bilionea kama Warren Buffet,viva ze pombe and viva ze bangi.
Walevi wengi hawana muda wa kufikiri kwani huwa wamelewa. Wanaojiua huwa sober ndio maana wanajiua. Mlevi atajiua na yeye anajiona hana tatizo na kiingereza anajua?