Kwanini wanaojiua wengi wao hawanywi Pombe?

Kwanini wanaojiua wengi wao hawanywi Pombe?

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Tafiti niliyofanya nimegundua asilimia 80% ya vifo vya watu wanaojiua wengi wao hawanywi pombe, ni wapole wapo sober 24/7 ...

Chanzo cha tafiti mimi mwenyewe na kama unabisha hapo ulipo jiulize vifo vya watu waliojiua unaowajua je walikua wanakunywa au hawanywi pombe ..am sure 100 % jibu litakua hawanywi. !!!

NB:
1. KUNYWA POMBE KUPITA KIASI NI HATARI KWA AFYA YAKO
2.KUNYWA KISTARAABU
3.HAIUZWI KWA WENYWE UMRI CHINI YA MIAKA 18

WAITER NILITEE SAFARI BARIDI NYINGINE WIFE KANIBOA NISOJE NIKAJIUA BURE ...!!!
 
mgonjwa

Sina hakika na tafiti yako lakini ushajiuliza vifo vingapi vinatokana na pombe pia umeshalinganisha ukubwa wa tatizo la watu kujiua na tatizo linalotokana na ulevi, tafakari mkuu....
 
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa yako wanaoijua wengi ni walevi sema tu hapa vifo vinatofautiana.
 
Umetumia sampling method gani,na sample yako ilikuwa na ukubwa gani.Baada ya kupata sample zako ulizi-analyze kwa kutumia method gani.Kama huna majibu ya maswali hayo hujafanya utafiti,kwa hiyo you have got no right to speak.Ni vema ukanyamaza.
Tafiti niliyofanya nimegundua asilimia 80% ya vifo vya watu wanaojiua wengi wao hawanywi pombe, ni wapole wapo sober 24/7 ...

Chanzo cha tafiti mimi mwenyewe na kama unabisha hapo ulipo jiulize vifo vya watu waliojiua unaowajua je walikua wanakunywa au hawanywi pombe ..am sure 100 % jibu litakua hawanywi. !!!

NB: 1. KUNYWA POMBE KUPITA KIASI NI HATARI KWA AFYA YAKO
2.KUNYWA KISTARAABU
3.HAIUZWI KWA WENYWE UMRI CHINI YA MIAKA 18

WAITER NILITEE SAFARI BARIDI NYINGINE WIFE KANIBOA NISOJE NIKAJIUA BURE ...!!!
 
wewe kweli ni mgonjwa, sina shaka na hilo, mtafute na huyu MchunguZI muwe kampuni moja mtaendana sana, akili yenu moja.
 
Last edited by a moderator:
aisee we kweli ni mgonjwa tena wa kisaikolojia unahitaji matibabu haraka.....anyway wife kakuuzi nn?
 
wewe kweli ni mgonjwa, sina shaka na hilo, mtafute na huyu MchunguZI muwe kampuni moja mtaendana sana, akili yenu moja.

Sijui ulikuwa unamjibu nani maana ni msg inayo hang bila originality. Naona unanitaja. Kampuni gani hiyo mkuu? Hebu itaje maana huenda umekosea na kwa ufahamu wangu najiamini naweza kukufanya mwanafaunzi wangu kutegemeana na kiwango cha kutoelewa ulicho nacho.
 
We kama unakunywa endelea tu lakini usitake ku justify unywaji wako kwa vi research hewa
 
Mshana jr ...nawe unabisha ndugu achana na watoto wa juzi humu ndani wao ili mradi tu wamebisha hawana hoja za msingi CHUNGUZA UTABAINI NDUGU
 
utafiti kaufanyie Iringa, na ukumbuke consideration za URANZI
 
Mshana jr ...nawe unabisha ndugu achana na watoto wa juzi humu ndani wao ili mradi tu wamebisha hawana hoja za msingi CHUNGUZA UTABAINI NDUGU
mgonjwa uko sahihi kabisa na wala sijapingana nawe, hii post inaweza kuonekana kichekesho lakini ina ukweli ndani yake, unajua hakuna kitu kibaya upweke na wengi wanaojiua hawana mbadala wa kuondoa stress zao kama sisi wazee wa yure mupe yure muruke
 
Ni kweli kabisa,ulabu,bangi vinatoa sana stress na kukuhamisha ktk sayari nyingine hata kama huna cent utajiona wewe ni bilionea kama Warren Buffet,viva ze pombe and viva ze bangi.
 
Last edited by a moderator:
Kula bia uwe na furaha unabadilisha mawazo na ndugu na jamaa unaudumiwa na dada kajazia basi ilamradi ni burudan tu utajinyonga vp labda uwe unalewa unadondoka na kudondokewa na wenzio hapo kajiue
 
Back
Top Bottom