Aisee umepitia mengi.Nishapoa katika maisha yangu nishafumania mara mbili nishapokonyw dem na mtu mmoja mara mbili that why beef na mtu siwez
Kabisa na wapo wanao ulizia tutakipata liniAisee umepitia mengi.
Dem akizingua hamna kubembeleza piga chini, pisi zipo nyingi sana na nzuri
NakaziaKabisa na wapo wanao ulizia tutakipata lini
Ooh kumbe 😊😊🤗Leejay49 yaani humu mtu huyu hakuwepo ila baada ya majonzi ya huyu kijana kunywa ovyo mtaani akampata kule sasa amefungua account angalie kama Mwachiluwi anamsimamo gani ?? Je ni wakutukia naye au.
??
Kaopoa dodo kwenye mchanga mwambie akutoe out kule ee 5 star chagua hoteli kabla hajamilikiwaPole sana best yangu 🤣
Kumbe anae maweKaopoa dodo kwenye mchanga mwambie akutoe out kule ee 5 star chagua hoteli kabla hajamilikiwa
The guilty are afraid...!Wanaofumaniwa ni kwamba wanakuwa hawana nguvu au ujasiri unayeyuka ? mbona hakuna anayemtwanga aliyemfumania Unampiga tu anaekufumania akileta shida ,kwani huyo mwanamke wake ni mtoto ? si alikubali akiwa na akili zake timamu shughulika na mwanamke wako sio unayemfumania
😁😁😁 mawe ya kugongea kokotoKumbe anae mawe
Mwachiluwi njoo best
Ndg, limewahi kukuta Jambo nnachana na fumanizi ndugu
Ugua pole na jeraha ulilonaloUsinikumbushe machungu ase inaumaga sana
Hahaha .. kwenda nyumbani kwa mtu huo ni uchokozi uliotukuka na ni dharau mtu wa aina hii anastahili vitasa vilivyoenda chuoFumaniwa uwe mbabe nnje ya nyumba ya mwanaume uliemla mke wake.
sio unafumaniwa ndani ya nyumba ya mwanaume huyo huyo umemlia mkewe halafu uwe mbabe utakatwa koromeo unajiona.
Kabisa tunahitaji madini muhimuVijana litendeeni haki hili jukwaa!! Kama huna Uzi wenye akili Kaushal!!
Mwenza wako akifikia stage hiyo ya kuchepuka ni vyema muachane njia maana hajwezi uka mcontrol binadamu mwenzakolabda hufuatilii hayo matukio, kama huna nguvu za kutosha usipange fumanizi itakula kwako na utashangaa...
kuna wengine wamepoteza maisha ama kubaki vilema kisa wake zao
Asante vip mpango wako wakutumia majina yako halis umeishia wapi?Ugua pole na jeraha ulilonalo
KabisaAisee umepitia mengi.
Dem akizingua hamna kubembeleza piga chini, pisi zipo nyingi sana na nzuri
Matukio ya townNini kimetokea
Pichaaa Je?Wanaofumaniwa ni kwamba wanakuwa hawana nguvu au ujasiri unayeyuka ? mbona hakuna anayemtwanga aliyemfumania Unampiga tu anaekufumania akileta shida ,kwani huyo mwanamke wake ni mtoto ? si alikubali akiwa na akili zake timamu shughulika na mwanamke wako sio unayemfumania
Jina lako linatishia usalama wa Raia na Mali zaoVunja mifupa ingali meno ipo, hizi papuchi tuendelee kuzichakata bila kuoneana wivu, ukiona manzi yako imevuliwa kyupi tafuta mwingine kamvue, acha kugombana na mwanaume mwenzio kisa mbususu utakufa na utaziacha au utakufa utamwacha mzee kitombile akiendelea kumgongelea misumali mkeo[emoji120]
Absolutely [emoji817]