Kwanini wanandoa wengi hawapo "romantic"?

Ni ngumu sana kukaa na mkeo masaa mawili asikulaumu,nilikwambia usinunue bondeni wew umenunua unaona sas maji yajaa ndan,nilikwambia lipa ada mapema wew hukulipa,yaan lawama haziishi naa siku nyingn umejiandaa leo nitafanya mapenzi yaan ile umefika kitandani unaanza kukumbushiwa madeni na mipango kazi ya maendelea mwisho wa siku kichwa kdg kinanywea, lakin mchepuko yeye hana yote hayo anajali hesabu yake tu kicheko hadi mwisho. Acha ndoa ziende hivyo hivyo zinavyoenda
 
ni ngumu ndo maaana unaambiwa tuliza akili yako kama unataka kuoa kwaababu mwanamke huyo huyo unalala naye unaamka naye anaenda kunya unamuona yaani unamzoea kupita kiasi na hapo ndio akili ya mwanaume hupimwa long story short ukiona mwanaume katulia na mwanamke mmoja amabaye ni mke wake muheshimu huwa tunawachoka saa zingine ila ndo hivo utafanyaje ushaoa
 
Mkishafunga ndoa kinachofuata ni kufikiria maisha ya familia, majukumu yanaongezeka wageni wanakuja kuwatembelea, maisha ya uchuma ya kupelekana maeneo ya starehe yanatoweka, kinachotokea kwa vijana wa sasa wa kike wao wanataka maisha ya wakati wa uchumba ndo yawe katika ndoa hilo haliwezekani
 
Mkishafunga ndoa...uhusiano unageuka unakuwa sawa na mtu na boss wake...mara nyingi mwanaume boss...sasa kazi ni pale mwanamke nae anapokuwa ngumu kumtii boss.
 
Ndoa nyingi ni kwa ajili tu ya *kulala na kuamka, kulea watoto na kuzeeka* pamoja mpaka kifo.



Wanandoa wengi ni mara chache sana kupeana *busu* na kukumbatiana wanapopata habari njema.



Mume humuwekea mkewe chakula *mdomoni* pale tu mke anapokuwa *mgonjwa* akawa hawezi kujilisha.



Ukimuona mwanaume *anamfungulia mlango* mkewe basi ujue mlango huo ni *mbovu* au una kasoro.



Kitu pekee kinachomfanya mwanaume wa kiafrika kuigusa *shingo* ya mkewe ni pale mke huyo anapolalamika kuwa ana *homa*. Hatoigusa tena mpaka atakapopata homa nyingine.



Muda pekee ambao *atambeba* mkewe mikononi mwake ni pale anapojifungua.



Ukiwaona *wamekaa nje* wakati wa usiku, usifikiri wanaenziana. Wanasubiri tu *harufu ya dawa* waliyopulizia ndani iishe.



Wanawake wengi wanawanunuliza *zawadi* waume zao pale tu mume anapokuwa *mgonjwa* hospitalini.




Muda pekee ambao *wanakimbia pamoja* ni pale inapotokea *hatari* na kila mtu akawa anakimbia.



Muda pekee *wanaokaa pamoja* jioni ni pale wanapotaka kwenda *kupeleka malalamiko* kwa wazazi wa mtu aliyempiga mtoto wao au aliyempa mimba binti yao.



Muda pekee *wanaokoga* pamoja ni pale wote *wanapochelewa* kwenda kazini.

Muda pekee ambao mke huyatazama kwa ukaribu *macho* ya mumewe ni pale jicho la mume linapopatwa na *uchafu*.

Kwa bahati mbaya, Waafrika wana mawazo kuwa kila mwanaume *romantic na mbembelezaji* anakuwa ametawaliwa na mke. Hapo wataanza kueneza umbea na kuzusha kua mke kampa *LIMBWATA* mumewe na si ajabu mwanaume huyo kuitwa *LOFA* au *BUSHOKE*.

*Tubadilike jaman, tujitahd kuzfanya ndoa zetu kua mpya kila uchao.........Na kwa wale tusiojaaliwa kupata bac tuwe na subira na tuyatekeleze haya mara tu baada ya kupata kilicho halali kwetu*

Sent using i phone x
 
AMINA nimejifunza kitu aisee ngoja nijiandae kisaikolojia siku na mimi nikipata mwenza nsije zeeka mapema kisa majukumu
 
Mazoea yakizidi thanks to my babymama, 5yrs now lakini kama tumeonana jana, kila siku tunaonana wapyaaaa.

Nawapa hii mbinu wanandoa muwe walau kwa mwaka mara moja mnasafiri mnaenda mkoa au nchi nyingine kubadilisha mazingira sio January hadi December mpo tu sehemu moja, chumba kile kile, kitanda kile kile, mnachokana.
 
Kwa upande wa wanaume tunawaza kutafuta hela tu,hayo mengine hayana ulazima.
 
5 yrs mingi kumbe kwenye ndoa ushakuwa experience ushakuwa mkongwe



Nisalimie kababy boy kako mkuu culture mwambie uncle liquor kule jf anamsalimia
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa wewe ukitaniwa taniwa tu unaachia uchi, basi wewe ujitambui, ujui thamani yako, ukisha kuwa mwanandoa basi lazima ulinde thamani ya ndoa yako, ususani kwa mwanamke, mwanamke ukitaka kushindana na mume wako kuhusu idadi ya wapenzi alionao mwanaume na wewe ukatafuta wanaume nje, ujue uyo mwanaume huo mchepuko ana act kama anakupenda lakini ukweli anakuenjoy tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Teeeh teeeh ulivyonijibu kama ndiyo mimi vile nimeliwa kisa kutaniwa.

Mimi nimechangia kutokana na mtazamo wangu ndiyo maana michango haifanani, sikumaanisha kama mwanaume anakusaliti nawe ufanye usaliti yaani mshindane...... Hapana.

Nimeelezea tu mume kwa mke wasiishi kimazoea labda mwanaume mwanzo ulikuwa unafanya hivi kwa mkeo baada tu ya kuishi miezi kadhaa umebadilika umeanza kufanya tofauti, hivyo haipaswi.
Mm mchango wangu nimewalalamikia wanaume na wapo pia walio walalamikia wanawake kwahiyo ni mtazamo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazoea yakizidi thanks to my babymama, 5yrs now lakini kama tumeonana jana, kila siku tunaonana wapyaaaa.
Unaweza kutufafanulia hapa?
Nawapa hii mbinu wanandoa muwe walau kwa mwaka mara moja mnasafiri mnaenda mkoa au nchi nyingine kubadilisha mazingira sio January hadi December mpo tu sehemu moja, chumba kile kile, kitanda kile kile, mnachokana.
Hii ni kweli 100%
 

Hahahaha, Ustaadh anathibitisha haya
 

Attachments

  • VID-20191206-WA0014.mp4
    2.9 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…