Kwanini wanandoa wa kiafrika sio 'romantic'?

Kwanini wanandoa wa kiafrika sio 'romantic'?

binafsi "" kuna baadhi ambayo naweza kuyafnya in public space "" lakini mengine kwakweli ni big no "" lazima ujitambue na uonyeshe ukomavu wa akili yko ..."" na moja ya sehemu ya huo ukomavu ni uwepo wa kuwa na heshima kwa Jamii nzima ainayo kuzungukà ....huwezi kumshika makalio mwenzio ktika public space then utarajie watu wakuone kuwa uko romantic ..nihivyo hvyo pia kwenye "" deep kiss"" kumshika ""kiuno huku mnatembea mahala kwenye watu wengi expecialy ukiwa ulishajijengea legacy ya heshima kwa wtu wanao kuzunguka ......
pochi na weza kubeba ..kumfunglia mlango sio issue mbona nijmbo la kawaida tu "" hata kumlisha pia sio kesi (ijapokuwa hili pia nalo siwezi kulifnya mahala ambapo kuna watoto )

kuwa romantik sio mbaya lakini hatupaswi kuwa tunaiga iga tu kila jambo eti kisa tu nikwakuwa limefnywa na mzungu ...kwa wazungu kule wenzetu mtoto wakike akishafikisha miaka 14 anaweza akamleta bf wake kwao naakapeleka room kwake kisha waka sex "" huku wazazi wao wakiwa sitting room wanapiga story ...tunadhani nikwanini wamefika hapo ..nikwasbabu ya hayo mambo yakujifnya wako romantik sana mpka mbele ya watoto wao """"
 
Mie wazazi wangu mpaka leo wanaitana wapenzi,wanapelekana out na retreats na vacations,mzee anamletea bimkubwa mauwa,wanalishana hata mbele yetu,nahapo wote ni watuwazima on their 60s.
 
Mie wazazi wangu mpaka leo wanaitana wapenzi,wanapelekana out na retreats na vacations,mzee anamletea bimkubwa mauwa,wanalishana hata mbele yetu,nahapo wote ni watuwazima on their 60s.
Basi Nyie sio wa nchi hii Mkuu! Mlilowea tu huku. Mama zangu wadogo nakukaa ulaya kote hawewezi kufanya mahaba ya kukis na kukaliana hovyo hovyo mbele ya watoto wakubwa kama mie mwenye mke kabisa.. Imagine

Ila kujipangia safari nikawaida tena pale watoto wanapokuwa wameshakuwa its your time.. Maua utarudi nayo ukaje na pesa ya wanawake wa kwetu ..ukanunue Maua?! Unaleta mchezo wewe.. 🙂

Au nijiloge nampelekea mke wangu Maua..Yesuu! Unataka nisemwe mpk kesho.. Sisi huko kwetu niwaafrika haswa.. Hata ukawaweke London hawabadiliki..

Mahaba ni yafamilia nzima.. Kula pamoja, kuimba jioni nyimbo za dini.. Utani.. Kuangalia habari na wakati mwingine movie tukiwa wote nyumbani..

Outing ya familia once in a while kuetmbelea ndugu.. Maana furaha ya mzazi ni kuona familia ikiwa na furaha.. Creating memories..
 
Mimi kwangu nina falsafa tofauti ni bora nikae na Demu mwaka 1 na niwe nimefall in love naye na kinyume chake kuliko niishi na mtu maisha yote ambaye sina feelings naye na yeye hana feelings na mimi!

Unafikiri kwa nini karibia kila Mwanaume/Mke kwenye Mahusiano anakuwa na mtu wa pembeni? Ni kwa sababu hakuna mapenzi baina yao, Kisayansi imethibitishwa kabisa kama kweli umefall in love na mtu huwezi kwenda kulala na mwingine halafu ujisikie poa tu, kama kweli umefall na Demu ikitokea ukalala na Demu mwingine ni lazima itakusumbua na kwa Demu hivyo hivyo kama kweli kakupenda hawezi kulala na Mwanaume mwingine kwani feelings zake kwako zinakuwa stronger lkn Bongo kila mtu analala hovyo hovyo hakuna uaminifu kabisa hivyo hakuna falling in love!
Vijana wa siku hizi sijui vichwani mwenu mna kutu sugu Kama wewe

No science proved that fall in love hawaezi kulala na mtu mwingine

The founder of psychology said being 30 years of research haven't know the need of women

Harafu unatuletea sarakasi za kitoto
Stay in your beliefs no one's alter you.
Psychologist says when your fall in love to prove it stay 2 years without asking the loved. Baada ya hapo jaribu kuzum uone Kama kweli you love

We ka mwaka tu harafu unabanjuka shiiiiit and ruuuubish
 
HAHAAA HAHAAA
 
Baadhi ya ndoa ni za kufosi sio kw sbb ya mapenzi
 
Itabidi nimuulize wakwangu vizuri inawezekana sio muafrica
 
Back
Top Bottom