Kwanini wanandoa wa kiafrika sio 'romantic'?

Kwanini wanandoa wa kiafrika sio 'romantic'?

Kwa sababu tu watu wamezeeka pmj haimaanishi kwamba wali fall in love, mimi sikumbuki ishara yoyote ile nilioiona ambayo ilinifanya niamini kwamba Babu na Bibi na yangu wakifall in love, nilikuwa naoma Ukali tu na kuogopana lkn sikuona Mapenzi kama niyajuavyo leo hii!
Mapenzi gani unayoyasema ambayo yapo Leo

Huo uigizaji wenu mnaousema ndo fall in love

Fall in love is when u respect @ other and stay for long

Sasa wewe unasema unafall in love mwaka mmoja tu mmeachana ndo fall kweli

Kumbuka kunatamaa na love

One day was talking to a teacher (female) who was STDs

Akaniambia mapenzi ya wazazi wetu ndo yalikua halisi

Nkamwambia mbona walikua wanalalamika kuchaguliwa waume au wake

Akanambia love develope slowly and reach peak after suffering beyond of it ni tamaaa

Kitu Cha Leo tulichonacho ni Tamara

Back to ujue kuwa umapompenda Mwanamke au mwanaume at once hiyo ni tamaa na siyo upendo kuna viashiria vilivofanya hormone zako zistak kwa yule utakaposoma mapungufu yake na kuyabaini ndo utafikia kumuona hafai

Teacher akasema yaani kuchaguliwa mume ilikuwa nzuri sana maana upendo utaanza kudevelop na baada ya suffering utsfikia pick ndo mapenzi yanakuwa at its peak ndo maana wazee wanazeeka pamoja akiugua mmoja na mwingine anaugua akifa mmoja the next is victim

Teh
 
Mimi kwangu nina falsafa tofauti ni bora nikae na Demu mwaka 1 na niwe nimefall in love naye na kinyume chake kuliko niishi na mtu maisha yote ambaye sina feelings naye na yeye hana feelings na mimi!

Unafikiri kwa nini karibia kila Mwanaume/Mke kwenye Mahusiano anakuwa na mtu wa pembeni? Ni kwa sababu hakuna mapenzi baina yao, Kisayansi imethibitishwa kabisa kama kweli umefall in love na mtu huwezi kwenda kulala na mwingine halafu ujisikie poa tu, kama kweli umefall na Demu ikitokea ukalala na Demu mwingine ni lazima itakusumbua na kwa Demu hivyo hivyo kama kweli kakupenda hawezi kulala na Mwanaume mwingine kwani feelings zake kwako zinakuwa stronger lkn Bongo kila mtu analala hovyo hovyo hakuna uaminifu kabisa hivyo hakuna falling in love!
 
Kwa sababu wengi kinachowafanya waoane siyo Mapenzi bali ni mambo mengine kabisa isitoshe falling in love siyo Utamaduni wa Kiafrika, kabla ya kuja Wazungu kulikuwa hakuna mambo ya kufall in love, bali ni kukutana nakuamua kukaa pmj na kuzaaa watoto basi lkn kulikuwa hakuna mapenzi kama tuyajuavyo leo hii!

Na ndiyo maana ndoa nyingi zetu ni kama Vita Kati ya Mume na Mke, ni mabifu, visasi, mashindano na kutaimiana tu ya nani zaidi lkn hkn Mapenzi!
Ila hayo yote anaesababisha ni nani kati ya mwanaume na mwanamke
 
Ni suala la "utamaduni" na kuwa Nchi ya 150 naaa.. kwa watu wasio na Furaha Duniani, hizo sababu mbili za msingi sana, ukitafuta nyingine hutapata, misemo kama vile "kila siku nafuu ya jana" "paka kalala jikoni" ni ushahidi kuwa tuna societies zenye maisha aina gani.
Mpaka inatokea kuishi hivyo chanzo ni nini au na nani
 
Ukiwaona wamekaa nje wakati wa usiku, usifikiri wanaenziana. Wanasubiri tu harufu ya dawa waliyopulizia ndani iishe.

hahahahahhah, hahahahahahahaah Nimecheka sana, hadi wenzangu (mama ntilie) wananishangaa!!! hahahahahahahahahahahahah.
Umeongeza siku za kuishi kwa raha zako
 
Binafsi huwa nakuwa ' romantic ' kwa Mwanamke mwenye ' Mapenzi ' ya kweli nami ila nikigundua au kuhisi tu kuwa niliyenae na ' Mahaba ' na Mimi basi huwa nakuwa ' rough ' Kwake kwelikweli hadi atajuta kuwa nami.
Yaa kama ni mke wako wa ndoa lakini
 
Ndoa nyingi ni kwa ajili tu ya kulala na kuamka, kulea watoto na kuzeeka pamoja mpaka kifo.

* Wanandoa wengi ni mara chache sana kupeana busu na kukumbatiana wanapopata habari njema.

* Mume humuwekea mkewe chakula mdomoni pale tu mke anapokuwa mgonjwa akawa hawezi kujilisha.

* Ukimuona mwanaume anamfungulia mlango mkewe basi ujue mlango huo ni mbovu au una kasoro.

* Kitu pekee kinachomfanya mwanaume wa kiafrika kuigusa shingo ya mkewe ni pale mke huyo anapolalamika kuwa ana homa. Hatoigusa tena mpaka atakapopata homa nyingine.

* Muda pekee ambao atambeba mkewe mikononi mwake ni pale anapojifungua.

* Ukiwaona wamekaa nje wakati wa usiku, usifikiri wanaenziana. Wanasubiri tu harufu ya dawa waliyopulizia ndani iishe.

* Wanawake wengi wanawanunuliza zawadi waume zao pale tu mume anapokuwa mgonjwa hospitalini.

* Muda pekee ambao wanakimbia pamoja ni pale inapotokea hatari na kila mtu akawa anakimbia.

* Muda pekee wanaokaa pamoja jioni ni pale wanapotaka kwenda kupeleka malalamiko kwa wazazi wa mtu aliyempiga mtoto wao au aliyempa mimba binti yao.

* Muda pekee wanaokoga pamoja ni pale wote wanapochelewa kwenda kazini.

*Muda pekee ambao mke huyatazama kwa ukaribu macho ya mumewe ni pale jicho la mume linapopatwa na uchafu.

Kwa bahati mbaya, Waafrika wana mawazo kuwa kila mwanaume romantic na mbembezi anakuwa ametawaliwa na mke. Hapo wataanza kueneza umbea.

Tubadilike.... Mabadiliko yanaanza na WEWE.
Unadanganywa na movies
 
Ukiwaona wamekaa nje wakati wa usiku, usifikiri wanaenziana. Wanasubiri tu harufu ya dawa waliyopulizia ndani iishe.

hahahahahhah, hahahahahahahaah Nimecheka sana, hadi wenzangu (mama ntilie) wananishangaa!!! hahahahahahahahahahahahah.
HAHAAA HAAAAAAA HAAAAAAAA MIMI MWENYEW ITANIBIDI NIKAPACHIKWE SPARE YA MBAVU AISEEEE
 
Tutafunguliana mlango wa gari pale utakapo kuwa mbovu[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Usijali mkuu... Hii mada ni ya mapenzi ya ubaoni na kuona kwenye video.. 🙂 Waone tunavyopendana.. Niwaonyeshe na mie huwa namkiss mke wangu..

Kila mwanamke ..na hii natestify.. Siwahi kumuona mwanamke ambaye sio mwenye mahaba ndani/chumbani.. Wote ni mashahidi..

Sasa kama pale mahaba yanapotakiwa unayapata..iweje uje uyadai barabarani?! Kama sio kuwa spoilt? Unakuwa hauna tofauti na mtoto anayelilia kila kitu hovyo hovyo..(vilizi).

Kila kitu na mahala pake na muda wake. Kuna mdau anahisi wazee wetu hawakupendana maana hawafanyi wanayoyaona kwenye video Leo.. Wamesahau ulaya huko huko mpaka 80's kuna majimbo Marekani kukiss hadharani ilikuwa ni kosa! Na sio mbali sana kushika a mikono ilikuwa inappropriate..

Tunasahau haraka.. Na hakuna anajua tena maana ya tamaduni.. Hakuna indoctrination ya core values of being human.. Tunafundishiwa vijana wetu na tv.. Worse is yet to come.
HAHAAA HAAAAA HAAAAA
 
Ukimuona mwanaume anamfungulia mlango mkewe basi ujue mlango huo ni mbovu au una kasoro...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukimuona mwanaume anamfungulia mlango mkewe basi ujue mlango huo ni mbovu au una kasoro...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom