agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
Mada imezungumzia wanawake na wanaume wewe unakimbilia kusema wanawake wanafki kazi unayoWanawake wa kiafrika hawapendi wanaogopa kuitwa wanafiki tu hamna
Kingine
Aibu mpaka mmezaa
Teh
Mada imezungumzia wanawake na wanaume wewe unakimbilia kusema wanawake wanafki kazi unayoWanawake wa kiafrika hawapendi wanaogopa kuitwa wanafiki tu hamna
Kingine
Aibu mpaka mmezaa
Teh
Rudia kusoma mkuu sijaandika wanawake wanafiki hebu potezea kidogo urudie kusoma mremboMada imezungumzia wanawake na wanaume wewe unakimbilia kusema wanawake wanafki kazi unayo
Nimekuelewa sana mkaka.ulichokiandika unataka kubadilisha mada ili waanze kusemwa wanawake..Rudia kusoma mkuu sijaandika wanawake wanafiki hebu potezea kidogo urudie kusoma mrembo
Yeh
Sijabadirisha Uzi na sidhani Kama umenielewaNimekuelewa sana mkaka.ulichokiandika unataka kubadilisha mada ili waanze kusemwa wanawake..
Yani hata mi nimecheka hapo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] na kumfungulia mlango wa gari basi lazima huo mlango ni mbovuUkiwaona wamekaa nje wakati wa usiku, usifikiri wanaenziana. Wanasubiri tu harufu ya dawa waliyopulizia ndani iishe.
hahahahahhah, hahahahahahahaah Nimecheka sana, hadi wenzangu (mama ntilie) wananishangaa!!! hahahahahahahahahahahahah.
hahaha, JF ni nusu ya Chuo maana mengi tunajifunza humu halafu kweli yako kwenye uhalisia! haahahahYani hata mi nimecheka hapo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] na kumfungulia mlango wa gari basi lazima huo mlango ni mbovu
Hahah umeua Chief.Ndoa nyingi ni kwa ajili tu ya kulala na kuamka, kulea watoto na kuzeeka pamoja mpaka kifo.
* Wanandoa wengi ni mara chache sana kupeana busu na kukumbatiana wanapopata habari njema.
* Mume humuwekea mkewe chakula mdomoni pale tu mke anapokuwa mgonjwa akawa hawezi kujilisha.
* Ukimuona mwanaume anamfungulia mlango mkewe basi ujue mlango huo ni mbovu au una kasoro.
* Kitu pekee kinachomfanya mwanaume wa kiafrika kuigusa shingo ya mkewe ni pale mke huyo anapolalamika kuwa ana homa. Hatoigusa tena mpaka atakapopata homa nyingine.
* Muda pekee ambao atambeba mkewe mikononi mwake ni pale anapojifungua.
* Ukiwaona wamekaa nje wakati wa usiku, usifikiri wanaenziana. Wanasubiri tu harufu ya dawa waliyopulizia ndani iishe.
* Wanawake wengi wanawanunuliza zawadi waume zao pale tu mume anapokuwa mgonjwa hospitalini.
* Muda pekee ambao wanakimbia pamoja ni pale inapotokea hatari na kila mtu akawa anakimbia.
* Muda pekee wanaokaa pamoja jioni ni pale wanapotaka kwenda kupeleka malalamiko kwa wazazi wa mtu aliyempiga mtoto wao au aliyempa mimba binti yao.
* Muda pekee wanaokoga pamoja ni pale wote wanapochelewa kwenda kazini.
*Muda pekee ambao mke huyatazama kwa ukaribu macho ya mumewe ni pale jicho la mume linapopatwa na uchafu.
Kwa bahati mbaya, Waafrika wana mawazo kuwa kila mwanaume romantic na mbembezi anakuwa ametawaliwa na mke. Hapo wataanza kueneza umbea.
Tubadilike.... Mabadiliko yanaanza na WEWE.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiwaona wamekaa nje wakati wa usiku,usifikiri wanaenziana.Wanawasubiri tu harufu ya dawa waliyopulizia ndani iishe
Hao ndo walikuwa wanafall in love halisi siyo ya sasa siku hizi ni mihemuko tu na vyakula vya kisasaSiamini, sidhani kama Babu na Bibi yangu wali fall in love, au Wamasai huko kwenye Manyata wana fall in love ndiyo waowane, hilo siamini!
Kwani waliosema haya ni mambo ya chumbani walikosea.. Tutunziane heshima.. Hadharani kuna watoto.. Na watu wenye stress tusiwaumize moyo.. Unless lengo sio kumuonesha unayempenda upendo ila unataka jamii ione na wewe huwa unafanya mahaba.. Ambayo ni kitu napinga sana.. Kwann ufanye ili waone unafaidika na nn wakishaona?!Sijabadirisha Uzi na sidhani Kama umenielewa
Ujue kuna maadili ambayo mtt wa kike anakuwa nayo
Lkn si hivo tu Mwanamke mara zote huangalia jamii inamsemaje inamchukulia VP na si mwanqume
Kuna marafiki zangu wengi tu tunajaribu kuongelea jambo hili wengi wao husema mama furani kbs akubali hadharani thubutu na wengi walifanya hadharani Kama surprise me walichoambiwa kwa wake zao acha tu (wengi wao waliambiwa usinifanye muhuni na wengine mpaka ndoa zikateteleka)
Wewe yawezeKana ni mtt wa geti kali unayaona wanayoigiza tu back to reality narudia WANAWAKE WANAOGOPA KUITWA WANAFIKI
Nilikuwa nafafanua tu kajambo rafiki kwa huyu mdada maanaKwani waliosema haya ni mambo ya chumbani walikosea.. Tutunziane heshima.. Hadharani kuna watoto.. Na watu wenye stress tusiwaumize moyo.. Unless lengo sio kumuonesha unayempenda upendo ila unataka jamii ione na wewe huwa unafanya mahaba.. Ambayo ni kitu napinga sana.. Kwann ufanye ili waone unafaidika na nn wakishaona?!
Usijali mkuu... Hii mada ni ya mapenzi ya ubaoni na kuona kwenye video.. 🙂 Waone tunavyopendana.. Niwaonyeshe na mie huwa namkiss mke wangu..Nilikuwa nafafanua tu kajambo rafiki kwa huyu mdada maana
Nilikuwa nimeshutumiwa kubadirisha maada
Hawa wanawake wanaotaka kushindana na waume zao unaanzaje kuwa romantic kwao?Ndoa nyingi ni kwa ajili tu ya kulala na kuamka, kulea watoto na kuzeeka pamoja mpaka kifo.