kipanga mlakuku
Member
- Jun 9, 2011
- 92
- 53
Umofia Kwenu, Wadau nimetembelea vituo kadhaa vya kujiandikisha naona hamasa imekuwa kubwa, hivi kwanini? watu wanataka mabadiliko? kweli watapiga kura? au wanataka vitambulisho kwa ajili ya kufungua account bank? nashindwa kuelewa.
Nahisi kama lilikuwa chezo ili watu wasijitokeze ili wahafidhina wa CCM ndo wajiindikishe, lakini upepo umebadilika, kila mtu kadhamiria
Nahisi kama lilikuwa chezo ili watu wasijitokeze ili wahafidhina wa CCM ndo wajiindikishe, lakini upepo umebadilika, kila mtu kadhamiria