haa haa kama jk ameweza kuwa rais, nani atashindwa, hata lusinde anafaa sembuse dr. Slaa!Mzee slaa hafai kuongoza hata kundi la bawacha kiujumla siyo kiongozi hafai kwa lolote lile hachaguliki na hatachagulika.
Mwl Nyerere alisema katika moja ya hotuba sake maarufu kuwa mgombea wa ccm laxm achujwe kwan akishatangazwa huenda umemtangaza raisi.
Slaa wananchi watanganyika nazanbibar walimkataa na bado kama UKAWA watajichanganya basi CCM itapita km kupita bila kupingwa.
Slaa 2010 alidaiwa kuwa na mafungamano mazito na waajiri wake wa mwanzo jambo ambalo lilisaidia kutoka kwa waraka kwa waamini namna ya kupata viongozi wao. hill bado lipo na ndio maana CHADEMA imepigwa Zanziba, Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Tabora nk.
Slaa ni kiongozi Mwenye jazba intolerant na hawezi kucompromise. ukisikiliza speech zake anaamini akishika madaraka karb nusu ya watu atawafunga. anawatuhumu marais wastaafu mawaziri, polisi,jeshi,usalama wa taifa, majaji sasa km utafukuza polisi, usalama wa taifa,utafunga viongozi wastaafu hueezi baki salama mfano mzuri ni misri . raid Mandela angekuwa km Slaa Leo dunia isingemkumbuka kwani alisamehe na kuridhiana.
Slaa ni MTU asiependa kupingwa wala kukosolewa na mfano mzuri ni suala LA zito. namna Kikwete anavyokosolewa lakini anavumilia ingekuwa padri slaa wengi wangekua magerezani. kiongozi gani anapenda tu kusikia akisifiwa tu basi.ukileta hoja ya udhaifu wake unakuwa labelled msaliti na unafukuzwa.
Slaa hawezi kuongoza nchi hoi labda mtaa wa Ufipa.
cc UKAWA
cc Mbatia
cc prof Lipumba
cc Makaidi
argue don't shout!!!!!
mwl nyerere alisema katika moja ya hotuba sake maarufu kuwa mgombea wa ccm laxm achujwe kwan akishatangazwa huenda umemtangaza raisi.
Slaa wananchi watanganyika nazanbibar walimkataa na bado kama ukawa watajichanganya basi ccm itapita km kupita bila kupingwa.
Slaa 2010 alidaiwa kuwa na mafungamano mazito na waajiri wake wa mwanzo jambo ambalo lilisaidia kutoka kwa waraka kwa waamini namna ya kupata viongozi wao. Hill bado lipo na ndio maana chadema imepigwa zanziba, pwani, tanga, lindi, mtwara, tabora nk.
Slaa ni kiongozi mwenye jazba intolerant na hawezi kucompromise. Ukisikiliza speech zake anaamini akishika madaraka karb nusu ya watu atawafunga. Anawatuhumu marais wastaafu mawaziri, polisi,jeshi,usalama wa taifa, majaji sasa km utafukuza polisi, usalama wa taifa,utafunga viongozi wastaafu hueezi baki salama mfano mzuri ni misri . Raid mandela angekuwa km slaa leo dunia isingemkumbuka kwani alisamehe na kuridhiana.
Slaa ni mtu asiependa kupingwa wala kukosolewa na mfano mzuri ni suala la zito. Namna kikwete anavyokosolewa lakini anavumilia ingekuwa padri slaa wengi wangekua magerezani. Kiongozi gani anapenda tu kusikia akisifiwa tu basi.ukileta hoja ya udhaifu wake unakuwa labelled msaliti na unafukuzwa.
Slaa hawezi kuongoza nchi hoi labda mtaa wa ufipa.
Cc ukawa
cc mbatia
cc prof lipumba
cc makaidi
argue don't shout!!!!!
umeongea utopia mtupu kumhusu huyu bwana! Kama tunataka hii nchi itoke hapa tulipo basi ni lazima tupate mtu anaeuchukia ufisadi kwa kiwango cha juu sana.na kwa sasa ktk wanasiasa waliopo mmoja wao alionyesha hilo kivitendo ni slaa. Na maana ccm wakisikia jina lake tu, utasikia mara ooh huyu padri, mara oooh kaoa mke wa mtu n.k vitu ambavyo ni non sense.
wazee wangu sometimes tujaribu kupambanua mambo kwa hoja.mtoa mada huenda amekosea wakati akitoa mawazo au hoja yake.napingana na kusema kila mtoa hoja anamchafua mgombea fulani.huu ni wakati wa kuchambua kila tunaefikiri anakua kiongozi wetu.tunapojadili udhaifu qu mapunguf yake humsaudia yy pia kuiboresha nafai yake katika uongozi.ila tukimsifia tu nani atamwambia upungufu wake?tukiwa wasomi na wapenda nchi yetu tujenge hoja na kuzijibu kwa hoja.
Mleta mada umekuja na propaganda za kizee sana, nijuavyo Slaa alisema hatamuonea mtu bali yoyote aliyetumia mamlaka yake vibaya atapelekwa mahakani na mahakama itaamua. Hapa haijalishi ni rais mstaafu, usalama wa taifa, sijui polisi wala nini. Kama hao viongozi wanajishuku ndio tunaowatafuta wajibu nini walilifanyia taifa na sheria ichukue mkondo wake.
Hayo mambo ya upadre sijui ukristu ni siasa za kizee zilizopandikizwa na ccm ili wabaki madarakani. Sasa hivi wamebaki watu wachache wanaomini kwamba wapinzani wataleta vita kama mlivyokuwa mkiwadanganya hapo mwanzo.
Kwa taarifa yako Slaa ubaya wake ni pale aliposema atafanya elimu nchini kuwa bure huku ccm wakisema ni padre muongo. Leo hii bila aibu rais anatangaza kuanzia mwakani elimu itakuwa bure!!! Sasa wananchi wanajua nini faida ya upinzani na matokeo mmeyaona kwenye uchaguzu s/m. Na bado zile mbinu za kizee mnazotumia kubaki madarakani sijui kuboresha miundo mbinu, kushusha bei za vitu, kutokusumbua wananchi, wapinzani tumejipanga kutoa ufafanuzi wa kina jinsi mnavyowahadaa miaka yote kwa kichaka cha amani huku mkipora haki zao.
Mwl Nyerere alisema katika moja ya hotuba sake maarufu kuwa mgombea wa ccm laxm achujwe kwan akishatangazwa huenda umemtangaza raisi.
Slaa wananchi watanganyika nazanbibar walimkataa na bado kama UKAWA watajichanganya basi CCM itapita km kupita bila kupingwa.
Slaa 2010 alidaiwa kuwa na mafungamano mazito na waajiri wake wa mwanzo jambo ambalo lilisaidia kutoka kwa waraka kwa waamini namna ya kupata viongozi wao. hill bado lipo na ndio maana CHADEMA imepigwa Zanziba, Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Tabora nk.
Slaa ni kiongozi Mwenye jazba intolerant na hawezi kucompromise. ukisikiliza speech zake anaamini akishika madaraka karb nusu ya watu atawafunga. anawatuhumu marais wastaafu mawaziri, polisi,jeshi,usalama wa taifa, majaji sasa km utafukuza polisi, usalama wa taifa,utafunga viongozi wastaafu hueezi baki salama mfano mzuri ni misri . raid Mandela angekuwa km Slaa Leo dunia isingemkumbuka kwani alisamehe na kuridhiana.
Slaa ni MTU asiependa kupingwa wala kukosolewa na mfano mzuri ni suala LA zito. namna Kikwete anavyokosolewa lakini anavumilia ingekuwa padri slaa wengi wangekua magerezani. kiongozi gani anapenda tu kusikia akisifiwa tu basi.ukileta hoja ya udhaifu wake unakuwa labelled msaliti na unafukuzwa.
Slaa hawezi kuongoza nchi hoi labda mtaa wa Ufipa.
cc UKAWA
cc Mbatia
cc prof Lipumba
cc Makaidi
argue don't shout!!!!!
slaa nizao bovu la ccm,angalia siasa zake hazina utofauti na siasa za baazi ya viongoz wa ccm
kiongozi yoyote alie chama cha upinzani,alie wahi kumiliki kadi ya ccm. siasa zake ni zakihuni
Dr Slaa ni jembe sana, ni mwendawazimu tu ndiyo atakayempinga Dr Slaa.
Wananchi walimkataa lini...??