Thread closed!Ni taratibu za kijeshi.
Ni taratibu za kijeshi.Why?
Explanation please!
Ni taratibu za kijeshi.

ila jf..Ni taratibu za kijeshi.
Hii ni kwa nini na historia ipoje wakuu?
Watu wote huzuni ziliwatoka wakabaki wanashangaa gwaride
Sasa wewe si ujibu mkuu, mbona Kama unanilazimishaUmesoma vizuri hapo mkuu?

, mi nishatoa jibu langu halina maelezoWatakuja wafafanuzi. Mi sijuiila jf..
Yaanni ndio,ni taratibu za jeshi,sasa mdadavulie hizo taratibu ili aswe na sintofahamu tena
Why?
Explanation please!
Sio wanapokufa tu hata wanapozaliwa
nb:sitaki maswali



naam,siku ya birthday sioNgoja tusubiroe hapa wajeda wajeWatakuja wafafanuzi. Mi sijui
Ila wakija hapa mnakula kichura chura kwanza ndipo mnajibiwaNgoja tusubiroe hapa wajeda waje
😂😂 Wewe umezidi uongo khaaSio wanapokufa tu hata wanapozaliwa
nb:sitaki maswali
Unataka kusema wale kona bar nao waagwe kwa namna ya kwao?Umofia kwenu!
Nipo msibani kafariki mwanajeshi. Wanajeshi wanamuaga kwa gwaride na almost msiba wote wameuchukua wao. Ndugu wamepata nafasi ndogo sana.
Hii ni kwanini na historia ipoje wakuu? Watu wote huzuni ziliwatoka wakabaki wanashangaa gwaride.