Kwanini Wanajeshi huagwa kwa gwaride?

Kwanini Wanajeshi huagwa kwa gwaride?

Umofia kwenu!

Nipo msibani kafariki mwanajeshi. Wanajeshi wanamuaga kwa gwaride na almost msiba wote wameuchukua wao. Ndugu wamepata nafasi ndogo sana.

Hii ni kwanini na historia ipoje wakuu? Watu wote huzuni ziliwatoka wakabaki wanashangaa gwaride.
Ningekuwa mwanajeshi ningekujibu ila mimi ni raia wa kawaida tu
 
Umofia kwenu!

Nipo msibani kafariki mwanajeshi. Wanajeshi wanamuaga kwa gwaride na almost msiba wote wameuchukua wao. Ndugu wamepata nafasi ndogo sana.

Hii ni kwanini na historia ipoje wakuu? Watu wote huzuni ziliwatoka wakabaki wanashangaa gwaride.
Hakuna histore, hesabu, jografia, kemia wala baioloje, kila kitu ni amri hautumii bongo.
 
Gwaride kwenye msiba ni heshima anayopewa Marehem ili kuutambua mchango wake katika chombo(jeshi)
Alafu kuna kauli moja ivi jeshini "mwanajeshi ni kwata"
 
Back
Top Bottom