Kwanini wanaCHADEMA wamekuwa hivi?

S Sijaona unachokihangaikia, huna kazi mpaka unaandika yote hayo? Chapa kazi acha kulialia hapa!
 
Naona nyie hamtoelewana kamwe kwa majibizano haya.....kila mmoja anajiona yupo sawa. ....mmoja anaona ni sawa polisi wanapopiga mazoezi hadharani kuonyesha Kwamba wako vizur kwa kua siku zote wapo kwenye kambi zao tu wamekaa na hawana maeneo ya kufanyia mazoezi yao. ...na wa pili anaona kwamba polisi wanafanya mazoezi kwa ajili ya kuja kuwathibiti siku ya tukio. ..hapo no kuelewana....kwa kuwasaidia tu...kila mmoja awaze anavyoona lakini sio kila mmoja kumlazimisha mwenzake aamini mawazo yake.
 
Nampongeza mbunge Ester Bulaya kwa alichisema kuwa siasa isiwe chanzo cha kuwatenganisha watanzania , but najiuliza kwa nn alikuwa apeani mikono na wabunge wa upande wa pili Nampongeza kama kashatambua kuwa siasa sio uadui
 
pinga kwa hoja na sio kulia lia...Mbowe aliokolewa na maafisa usalama,Wasira alimpa mbowe sare za CCM wakampandisha gari la usalama akatoroshewa Mwanza baada ya ndugu na wananchi wa Tarime kumtuhumu kumuua marehemu Chacha Wange.Huo ndio ukweli!

Hizo hadithi za kijiweni simulianeni wenyewe hapo lumumba.
 
Tua Ngoma
Tulitaka mabadiliko, lakini haya yanu ya kihuni HAPANA
Mimi sio mnafki kama nyie vinafki vya Lumumba, kwa hiyo unataka kusema sisi ndo tumeleta haya mabadiliko,mabadiliko haya yameletwa na watu wanafki kama wewe,mnaoona kifo cha mwanachadema ni halali,ila cha vibaraka wenu kinauma,mnafki mkubwa wewe
 
JESHI LA POLISI LINABASE KWENYE SIASA TU WAKATI MITAANI KUNA VIBAKA NAWALA HAWAWASHUGHULIKII NA HAO NDO WANAKUWA HADI MAJAMBAZI
 

Uwe wa kwanza kuleta utengano then unakaa pembeni na kuuliza mpinzani kwanin hakuna mshikamano????!!
 
Umeishiwa pumzi Mkuu,nashukuru comment yangu umeielewa sana na umefaulu kwa kukuingia mpaka kunako.Sipo kwaajili ya mlengo wowote Ila nimetoa mtazamo kulingana na hali halisi ilivo.Hata hivo mie si mwanachama,mkereketwa wala sijui nini wa chama chochote kile hapo home Tz.Ila ww na wengine wengi mna mawazo HASI ya kila mtu anayeongea ukweli na kuyaweka wazi yale yaliyopo basi ni CHADEMA,big NO brother si hivo badilika.
Soma vizuri comment yng utaelewa.
Note:
Yawezekana watu wakafurahi hata wakitawaliwa na Sauti ya Umma(SAU). Hitaji (DESIRE) lao likatimia.
Somo hilo[emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Hakika wewe ni clever
 
Ukweli una upande,sio neutral...
 
Chadema kiko kwenye dripu,kinamsubiri daktari bingwa wilbroad slaa,laa sivyo kinana amendaa sanda na kaburi pale tengeru.
Mafisi katika ubora wao hii inaonesha ni jinsi gani mafisi yalivyo kuwa na unafiki wa kupindukia nani asie jua kuwa kila anachofanya huyo mtukufu wenu ni kwa ajili ya kidhibiti chadema, nani asiejua hata bunge amewekwa mtu ili adhibiti watu kuongelea upungufu wa mfalme, na nani asiejua ndani ya mafisi wenyewe na viongozi wa serikali pia watu hawana amani na haswa sababu ya mtukufu kuona yeye ni bora kupita binadamu wote haswa ndani ya Tanzania ikimaanisha analosema yeye hata viongozi wa ndini hawaruhusiwi kulipinga au kutoa ushauri, nani asiejua,mafisi ndio adui mkubwa wa watanzania haswa tabia yao ya wizi, dhulma na upotoshaji na ukipinga wewe ndio muhasi, hivi nani asiejua serikali ya mafisi ilipora ushindi wa Self Zanzibar, nani asiejua mnaishi sababu ya mabavu ya polisi na kama sio hivyo hata ndani yenu wanachama na baadhi ya viongozi hawana sauti wakogopa vitisho vya mfalme, nani asiejua viongozi wenu wa serikali wanaingilia hata bunge wapinzani wasiongee kwa demokrasia, na ku edit hotuba zao ili mfalme aonekane mtukufu mkizuia watanzania wasiambiwe ukweli kuhusu Lugumi, uuzwaji wa nyumba za serikali, Escrow na mengineo. Sasa hapo nani mzandiki, mwizi, fisadi, mchochezi na pia dhulma ni chadema au ccm?
 
Nisifiche na wala nisiwe mnafiki! Mtu kama Tulia Akson namchukia sana tena sana! Sina jema naye hata moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…