Kwanini wana JF wengi hawapendi kuchangia nyuzi za kimombo?

Nimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za kimombo. Nimegundua kuwa hazina wachangiaji, na hivyo wasomaji. Je, tatizo ni lugha au kuna namna?
Mkuu, utachangia kwa kimombo wakati hicho kimombo ulikitupa kando au ulidanganywa kuwa hiyo ni lugha ya beberu. Leo hii mchina na maendeleo yake bado ni muhimu upite kimombo kama ukitaka kuendelea chuo kikuu.
 
Nimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za kimombo. Nimegundua kuwa hazina wachangiaji, na hivyo wasomaji. Je, tatizo ni lugha au kuna namna?
Jibu hata wewe jibu unalo lakini you pretend to be dumb....

Mtu anakuwa huru kujieleza kwa lugha ambayo yuko competent nayo...

Hata Waingereza wenye lugha ya Kiingereza, hawawezi kuchangia chochote kama utaanzisha mjadala wowote kwa lugha ya Kiswahili wasiyoielewa..🤷🏼‍♀️!
 
Me kingereza mtu akionge na kuandika naelewa kwa jitihada zangu

Pia kidogo naweza ongea, shida kukiandika.! Mafekeche yake sio ya nchi hii

Heri nitumie kiswanglish kuandika kwa sababu mineno mengine ya kiswahili ni unazunguka mbuyu saba.! Kupata kontent na inakera
 
Mimi naendaga zangu reddit napiga kiingereza changu wee, nikijisikia kutumia kiswahili nakuja huku.

Kiujumla watanzania hatutumii sana kiingereza. Na humu tumejazana watanzania.
Kumbe ndo wewe unayenitongozaga na blah blah zako nyingi kule 😹😹😹

Haya twende nikakuchambe dogo 🤣
 

Attachments

  • IMG_5883.jpeg
    397.5 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…