Wakuu baada ya kusoma alichoongea Nyalandu nimeamini kuwa lengo la kutaka Lowasa avuliwe Gamba ni kumuweka nje ya Kinyang'anyiro cha Urais, Sitta, Membe na makundi yao wanamuogopa sana huyu bwana, hata suala la ufisadi wamelitunga ili kumpunguza makali, mi nauliza kama kweli wanakibalika kwa nini wamuogope?
Hivi ni wana CCM gani wanaomwogopa Lowassa?.. mimi siwajui maana nijuavyo Sitta aliifanya kazi yake vizuri tu ya Uspika, waliobakia ni Secretariat ya chama kina Nnauye na Malima..zaidi ya hawa sioni mtu anayemwogopa Lowassa kama sii wote wanamuunga mkono maana kama kweli walikuwa wanamwogopa asingeweza kubakia mwanachama mkutano mkuu ulopita..
Hawa mwogopi ila wana mheshimu kama PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA 2015
Wakuu baada ya kusoma alichoongea Nyalandu nimeamini kuwa lengo la kutaka Lowasa avuliwe Gamba ni kumuweka nje ya Kinyang'anyiro cha Urais, Sitta, Membe na makundi yao wanamuogopa sana huyu bwana, hata suala la ufisadi wamelitunga ili kumpunguza makali, mi nauliza kama kweli wanakibalika kwa nini wamuogope?
wakuu baada ya kusoma alichoongea nyalandu nimeamini kuwa lengo la kutaka lowasa avuliwe gamba ni kumuweka nje ya kinyang'anyiro cha urais, sitta, membe na makundi yao wanamuogopa sana huyu bwana, hata suala la ufisadi wamelitunga ili kumpunguza makali, mi nauliza kama kweli wanakibalika kwa nini wamuogope?
Hivi bila Lowasa JF Jukwaa la Siasa jua litachomoza kutokea magharibi kuelekea mashariki? Lowasa amejadiriwa kwa mapana hapa JF kuna hoja nyingi zipo humu wala hazijakuwa archives,ni vyema kuzipitia ili kupunguza kujirudia rudia.Kila kikicha wanaimba ufisadi wa Lowasa, Tanzania ni nchi ya tatu kwa kuzalisha dhahabu, Rwanda hawana, Tanzania ni nchi pekee yenye Tanzanite, Rwanda hawana, Tanzania ni nchi pekee yenye Gesi asilia Africa Mashariki, wengine hawana, Tanzania ni nchi pekee yenye ardhi ya kutosha yenye rutuba Afreica Mashariki, wengine hawana, badala ya kufikiria kwa nini tumekuwa maskini pamoja ana rasilimali zetu zote, tunaweka nguvu zetu na muda wetu kupambana na Lowassa, utafikiri yeye ndo chanzo cha umaskini wetu!!
Wapambe wa Lowassa sasa wahofia afya yake
Baada ya zoezi la CCM la kujivua gamba kushindwa, Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi ya Richmond, Edward Lowassa, sasa amejitamba kuwa yeye ndiye Rais ajaye wa 2015.
Watu waliokaribu na Lowassa wameniambia kuwa sasa hivi Lowassa ameshaiweka CCM mfukoni kwake kutokana na utajiri wake mkubwa wa kifisadi ambao umemuwezesha kuwanunua viongozi karibu wote.
"Sikiliza wewe, wajumbe wengi wa Kamati Kuu wako kwa Lowassa, NEC yote iko kwa Lowassa na zaidi ya asilimia 70 ya wajumbe wa mkutano mkuu wanamtii Lowassa. Hakuna cha kumzuia awe Rais 2015," mmoja wa wajumbe wa timu ya kampeni ya Lowassa alisema.
"Kikwete alivyoshindwa kutekeleza azma yake ya kujivua gamba imedhihirisha kuwa hana control au authority yoyote CCM. Hiki chama kiko kwenye himaya ya Lowassa."
Wapambe wa Lowassa wamesema kuwa ameikamata kanda nzima ya Ziwa na Zanzibar ambazo kwa ujumla wake zinawakilishwa na zaidi ya asilimia 50 ya wajumbe wa mikutano ya kitaifa ya CCM.
"Kitu pekee kitakachoweza kumzuia Lowassa asiwe Rais ni matatizo yake ya afya tu. Huyu mzee yuko very weak, akikushika mkono unatetemeka. Hata akishika kikombe cha chai, nusu ya chai inamwagika kutokana na kutetemeka kwake."
"Ini lake liko hoi, huyu mzee ni alcoholic sasa ... Anakunywa sana pombe kali, hasa Hennesy."
Baadhi ya wapambe wa Lowassa wamesema kuwa anaumwa kiharusi (stroke) ndiyo maana alikimbilia kwenda kwa Babu kule Samunge kupata kikombe. Pia Lowassa amekwenda mara mbili kwa mchungaji wa Nijeria, Joshua Emmanuel, katika jitihada zake za kuimarisha afya yake ili atwae uongozi wa nchi na kutimiza lengo lake kuu -- kuwa tajiri mkubwa kuliko wote kwenye bara zima la Afrika.