Kwanini walimu wengi wamekamatwa Qnet?

Kwanini walimu wengi wamekamatwa Qnet?

Vitalis Konga

Senior Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
127
Reaction score
231
Habarini,bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada,kwa nini walimu wengi wamekamatwa na Qnet wakati halide zao za maisha zikiongezeka kwa tight

Majibu yenu yatasaidia kuwakomboa au kuwaumiza walimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kunasabab nyingi, ila moja kubwa yaweza kuwa kunammoja wao aliiingia na akaja kuwashawishi wengine ila mtu wa biashara ka mimi siwezi fanya network marketing maana nazielewa vyema
 
Namshangaa sana anayefanya network marketing
Mkuu usipende kumushangaa kila mtu kwa Kazi anyoifanya. Hujui network marketing ndo biashara iliyopamba karne hii ya 21 na hujui kuwa baada ya miaka kumi ijayo network marketing ndo itakuwa the leading market in the world tatizo la wabongo wengi tunapenda Sana kuangalia movie &TV kuliko kusoma vitabu vingi vinavyoonyesha uhalisia wa Dunia ilipo na inakoelekea. Kwa wenzetu ulaya naweza SEMA huwa wapo mbele yetu kwa karne Kama moja Hivi coz kwa upande wao network marketing ilishaanza kitambo Sana na ndo biashara iliyo dominate huko kuliko local marketing ila kwa Tanzania na Africa kwa ujumla ndo bado tunaona Kama network marketing hailipi kwasababu wengi wetu bado tunaishi ktk maisha ya kijimaa . Ukitaka kuhakikisha ukweli wangu fuatillia matajri wengi duniani kama hawapo kwenye Mlm Mfano Angalia utajiri wa waanzailishi wa Network marketing Kama
Facebook
Alibaba
Amazon
Ebbay
Western Union
Harfu ndo utajua maana na Siri iliyojificha kwenye network marketing

Note: Siyo kila network marketing Ni nzuri kujihusisha nop zingine zimejaa utapeli TU na usiingie kwenye mfumo wa Network marketing pasipo kuwa na Elimu ya kutosha au akri iliyofunguka Zaidi juu ya utandawaziiii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunakoelekea hata unga,viungo vya kupikia ,nyanya,chumvi na n.k hatutakuwa Tunaenda sokoni tena kununua Bali tutakuwa tukiagiza tu mtandaoni thus why network marketing is the dominant marketing for the future time

Asante sana kwa elimu murua
 
Tunakoelekea hata unga,viungo vya kupikia ,nyanya,chumvi na n.k hatutakuwa Tunaenda sokoni tena kununua Bali tutakuwa tukiagiza tu mtandaoni thus why network marketing is the dominant marketing for the future time

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kuna tofauti kati ya network marketing na network businesses? Network marketing ni pyramid yaani network ya kuunganishana kwenye upatu kama deci, AIM Global n.k. na network businesses ni biashara kwa njia ya mtandao wa internet means online yaani unauza na kununua bidhaa through online.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom