Kwanini walimu tunalazimishwa na Halmashauri kujiunga na CWT?

Halmashauri nyingi wanalazimisha walimu wengi kuingia CWT wakati kuna vyama vingine ambavyo vimesajiliwa kisheria ila hawataki walimu tujiunge

Hivi ni haki walimu tusiwe huru kuchagua vyama tunavyotaka?

Kwanini wengi tunalazimishwa kuingia CWT?

Inafika wakati mwalimu unasaini mkataba ila wameshaanza kukata michango yao, hili swala linakera sana.

Wenye uzoefu wa hiki chama watusaidie.

Hiki chama kina msaada gani kwa walimu hasa?
CWT si ni CCM tu ...
 
CWT ni project ya mamlaka
 
Ukiwa Halmashauri umekwisha, Kama ni Mwalimu lazima wakuunge CWT kama ni idara zingine TALGWU wapo lazima wapite na chao utake usitake
 
Sawa ni ngumu na ni ngumu sana haiwezekani, tulia hapo cwt.
madai uya watu kurudishwa kinguvu ni madai halali mkuu -- yategemea upo wapi

watu wanapambana lakini changamoto hiyo ya kurudishwa ni kubwa
 
Back
Top Bottom