Kwanini walimu hawazeeki mapema?

Kweli hawazeeki.
Mwl mmoja jina Mr. Lyimo alimfundisha dada yangu shule ya msingi Kotela,
nilikutana naye mwaka juzi, yuko vile vile.
Mamndeny kumbe ww ni wamamba ? Nasubiria bia zangu
 
Ninakuunga mkono zaidi ya 1000%.
Mfano upo kwangu mie na mwalimu wangu wa "awali".

Kuna mwalimu wa kike alinidhulumu haki yangu ya "mashoto" na kunifanya nijifunze kuandikia "kulia" bila kupenda!

Wakati nikiwa la kwanza, ndiye alikuwa mwalimu wa mwandiko.

Sasa sielewi alikuwa na chuki gani ama upeo wake mdogo!

Tulivyoanzia kuchora chini ananiangalia tu, tukahamia kwenye tablets(mbao) ananiangalia tu na shoto langu.

Eti tulipoanza kuandikia karatasi ndipo aliponidhalilisha: vuta masikio yangu yote kwa kuninyanyua juu kisha akanikita konzi hadi nikaona nyota nyota na kunisindikiza kwaa maneno: "ukome kuandikia hilo kono lako la mavi"!

Niliumia, sikuwa na ka kufanya, lakini nikawa na kinyongo cha kutokumsamehe kwa uonevu.

Nilipomaliza mizunguko ya masomo na kupata ajira, nikaja nikakutana naye sehemu nikamuona bado kijana tena mbichi bado, nikamficha identity nikamuelewa na kumtokea.

Lengo ni kutoa kinyongo cha kisasi cha miaka mingi juu yake na kisha tukawa wapenzi.

Ndiyo ninasapoti hoja hii, kwamba walimu hasa wa kike hawazeeki haraka, aidha kwa kutofanya kazi za suruba ama "dongo" lao lao ni zuri.
 
We u kizazi Cha NYOKA uliyelaaniwa,

Umefunua marinda ya mzazi wako Kwa hila na unatamba hadharani.
 
wangu alikufa kwa gongo kitambo sana asee
 
We u kizazi Cha NYOKA uliyelaaniwa,

Umefunua marinda ya mzazi wako Kwa hila na unatamba hadharani.
Hizo ni imani zako tu.

Huyo siyo mzazi wangu ni mwanamke kawaida kabisa kama wanawake wengine.

Ungeeleza kulaani dhambi ya uzinzi niliyofanya pale, ningeona umenifinya na ningeinamisha kichwa chini kwa aibu.

Lakini hili la kusema kulala na mwanamke anayekuzidi umri ni laana, huo ni mhemuko wako ambao siyo sheria.

Hakuna popote katika vitabu vitakatifu paliposema, watu waoane ama kufanya mapenzi kwa kurandana umri ama makamo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…