Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,770
- 33,980
so there you have it,suala la israel na walokole ni sawa na suala la wahabia na story za Dajjall,kiufupi ni extremism,vilevile sio habari nzuri maana mwishowe inapelekea vita vya maangamizi katika kutimiza unabii wa kuwa yesu atarudi na kuhudumu pale jerusalem kwa miaka elfu moja,ili hili litokee lazima vita kuu itapiganwa,taifa la israel litashambuliwa vikali kabla yesu hajashuka akiwa juu ya farasi na upanga kuja kupelekea ushindi wa taifa teule na mji mtakatifu wa jerusalem kusimama,A LOT OF NOSENSE OFCOURSE