Kwa elimu ya SACCOS ya Mbowe- RATE ya 6.8% ni ndogo kuliko RATE ya 2.3%Kwa akili hiyo hiyo mmewazidi hata US kwa ukuaji wa uchumi, mwaka 2019 uchumi wa US ulikua kwa 2.3%.
Pia kwa akili hiyo hiyo mtoto wa miaka miwili anarefuka haraka kuliko mzee mwenye miaka 70.
Elimu ya Tanzania ni shida tupu.
Hata World Bank hawafikii elimu ya SACCOS yetu.