Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,553
Reaction score
57,843
Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa?

Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka

With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote nimekuja kugundua ni wake za watu na wote wamekubali na 5 nimetoka nao na 3 wananisumbua

Nauliza kwanini wake za watu ndio wanagawa sana kuliko wasichana wa kawaida

Ndoa zipo salama kweli nawaza Sana tunaelekea wapi?
 
Nisogezee limshangazi limoja

Mishangazi mnaipatapateje
Nami naipatapateje
15B54A5B-DCF1-4262-A1EB-E6612F160801.jpeg

🤗
 
Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa?

Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka

With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote nimekuja kugundua ni wake za watu na wote wamekubali na 5 nimetoka nao na 3 wananisumbua

Nauliza kwanini wake za watu ndio wanagawa sana kuliko wasichana wa kawaida

Ndoa zipo salama kweli nawaza Sana tunaelekea wapi?
Umetongoza wake za watu 8 ukatembea nao wa 5. Halafu uka conclude kuwa ambayo hawajaolewa hawachepuki kama walio olewa. Wakati hujatongoza asiyeolewa hata mmoja.
 
Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa?

Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka

With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote nimekuja kugundua ni wake za watu na wote wamekubali na 5 nimetoka nao na 3 wananisumbua

Nauliza kwanini wake za watu ndio wanagawa sana kuliko wasichana wa kawaida

Ndoa zipo salama kweli nawaza Sana tunaelekea wapi?

Tatizo ndoa ndoano kwa 99%.
 
Back
Top Bottom