Mimi ni Mkristo, tena naona ni jambo jema Rais kutoka upande wa pili wa Muungano. Lakini hiyo kwa sasa haiwezekani mpaka hapo Serikali ya Tanganyika itakaporudishwa. Kwa hiyo wakati wa kuandika Katiba mpya ni vema suala la serikali ya Tanganyika likaangaliwa kwa umakini ili kuwatendea haki wazanzibar. Hapa si suala la udini ni kurudisha serikali ya Tanganyika. Iwapo rais atatoka Zanzibar, basi Tanganyika itakuwa kama enzi hizo tulivyokuwa tunatawaliwa na governor wa Kiingereza(mkoloni)