Hivi waislaam tumewakosea nini dunia Yarabi... Kila uendako kampeni ni za kuwadhalilisha waislaaam hii Islamaphobia itawaisha lini...Mbona mimi najua wakristu wanataka rais ajaye awe Mkristu na baadhi ya makanisa wameisha anza kampeni na hatusemi maana ni haki yao wao kupendekeza mtu wanayemwona anawafaa..
Sio ndivyo tulivyogawana tabaka za kijamii kwamba nchi yetu haina dini isipokuwa wananchi wake ndio wana Dini, sasa mnacholia lia hapa nini wakati tupo ktk demokrasia. Waache wamtake Muislaam na wewe pinga mtake Mkristu maana tumeisha fika huko na Udini.. Badala ya watu kukaa na kufikiria kwa nini watu tunafikiri kwa masaburi kutwa hamuishi kwenda misikitini kusikiliza hotuba ili mpate kuandika lakini ya kanisani hamuyaandiki..
Na kwa mtaji huu sidhani kama Chadema itafanya vizuri mwaka 2015 kwa sababu mnazidi kukijenga chama kuwa cha kidini makosa yale yale waliyoyafanya CUF kabla ya uchaguzi wa mwaka 2005..Maana kila MwanaChadema hapa anafikiriaZanzibar ni ya Waislaam na bara ya Wakristu mnajiponza wenyewe wakuu zangu. Chadema jipangeni kupenyeza Zanzibar na sio kulalama na watu mbona mmejaza wabunge ndani ya chama Wachungaji watu hatusemi na sisi wengine bado tunawapa support?..Acheni Udini kutafuta wachawi, wakati wachawi ni nyie wenyewe...