Kwanini Waislam hawajifunzi?

Kiutani utani lakini facts zipo tele.
Always taking the lesser evil
 
Waisilamu tunachotakiwa kufanya kuelimisha watoto wetu, elimu dunia. Tujenge shule za msingi na secondary vijijini, kama dini zingine. Sasa hivi wachristo/makanisa wamechukua hekari kwa maelfu mikoa ya Mtwara na Lindi kwa bei ya kutupa. Wanaouza haya mashamba majority ni waislamu, hawajui thamani ya haya mashala. Sadly, they don’t even know in the near future their land will be wouth millions of shilling if not billions.

Last year, haya mashamba yalikuwa yana uzwa Sh 80,00 sasa hivi, pamoja na uchumi kuwa siyo mzuri, thamani ya haya mashamba ni Sh.300,000. Bakwana hakuna anae ona hili. Lakini, kila Jumapili, Makanisa mengi wana hubiri opportunity hii kwa waumini wao mjini na vijijini. Sisi tumebaki kujenga Misikiti mjini. Misikiti tunayo jenga mjini, mingi haina vitega uchumi.

Ngugu zetu waislaamu wengi walioko vijijini elimu yao ni duni Zaidi kuliko dini nyingine. Sasa watawezaje kuchanganua mambo muhimu tunayo waeleza kwenya midahalo yetu kupitia luninga, radio, na maandishi? Mambo kama vile katiba mpya, hakizao za kikatiba kama raia wa TZ, na mombo mengine mengi ya kijamii na maendeleo. Mimi ningependelea kuona tukipeleka Missinaries vijijini. Kila tunapo jenga Msikiti, tujenge shule, na zahanati. Baada ya muda mfupi, tutaona mabadiliko makubwa. Lakini, kama tutaendelea natabia ya kukaa mjini, kutokujenga shule zetu wenyewe, na kuto-kuweka vitega uchumi vyetu wenyewe; tusitegemee maendeleo yeyote.
 
Unapo muunga mkono mgombea basi kwanza yawepo makubaliano sio unamuunga mkono mgombea halafu unaanza kulialia akishashinda...
Someni signature yangu, Jenerali Ulimwengu hakukosea hata kidogo.
  • Tunachagua kama Vipofu, kisha tunalalama kama vichaa.
  • Sasa tuamue: ama tuchague viongozi wetu kwa umakini au tukae kimya wakati wakitunyanyasa.
  • Wachagua hovyo, wasiwe wasema ovyo wakitendewa ovyo.
 
Mkuu kama hakuna mbadala wa ccm kwasababu ya vyama vingine haviaminiki nini kinachowaogopesha kuruhusu tume huru ili iwepo mizani sawa kwa vyama vyote?
Na pia kama vyama vingine haviaminiki ni kwanini mnatoa rushwa ya ubwabwa, kofia, tshirt na kuna madeni mengine shigongo anawadai?
 
Watajifunzaje wakati wanaishi kwa matumaini na kinafiki nafiki? Hadi waache unafiki ndo akili zitakaa sawa.

Magufuli endelea kutunyoosha tu hadi akili zikae sawa. Maana zimeharibika akili zetu
 
Wacha ujinga, waislamu hawaitwi muhamedana !
 
Inawezekana ukaishi ulaya halafu bado ukawa na uelewa mdogo sana!
 
Waislam au Wakristo ndio watanzania wa mkoa gani?
 

I hope waislam wataacha kuchagua ovyo ovyo
 
Kiutani utani lakini facts zipo tele.
Always taking the lesser evil
Nakukatilia sisi waIslam wa Tanzania wanafki sana , na wewe mmoja wapo pia
Mbona unamtaji Prof Haruma Lipumba vs Mkapa...
 
Ata kwenye masuala ya ubunge na udiwani ni ngumu sana kuona Waislam wanaongoza kwenye maeneo ambayo yana wakristo wengi , lakini sio ajabu kuona mbunge Mkristo anaongoza eneo lenye waislam wengi

Wakristo wakitoa tamko lako kanisani bhasi waumimi wote wanafuata...
Kazi kwetu sisi
 
Elimu dunia ndio elimu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…