Kwanini Waislaam wanaelekea kibra muda wa kusali au kuchinja?

Status
Not open for further replies.
Mkuu na wanawake wameahidiwa kulipwa fadhila zipi? wanaume wangapi? Mungu Mwingi wa upendo na amani hawezi kuweka Ngono kuwa kipaumbele cha kumpa mwanadamu bwana acha kujidanganya hapo wamebug nadhani. Soma how Catholic created Islam only ayatollahs hide the fact on their hands.
mkuu kama hujui sie waislamu wanaume wengi wetu hatuko interested na hiyo ahadi ya mabikra, sie Mungu (sw ) kutuletea Mtume (saw) hiyo ni zawadi tosha ambayo hatuwezi kuibadili na chochote hata kama tutaenda peponi tusikute hao mabikra sie kumuamini Mungu tu imetosha
kuhusu hilo la wanawake watapewa nini, hilo halijawekwa wazi sana ndani ya quran ila Mungu kawazungumzia zaidi wanaume sababu ndiyo chachu ya kusimama dini, mwanaume ndiyo mwenye nguvu ya kuiua au kuisimamisha dini
 
Me nashangaaga tu pale nnapoona mapovu ya wakristo na chuki kwa waislamu sipati majibu wakati kila mtu ana dini yake na lengo ni kuabudu baada ya kila mmoja kutimiza lengo lake wanaanza chuki na chokochko kwa wengine tunaenda mbali kweli Mungu tusamehe waja wako
 
Hata nyie wenyewe mlishindo kumchinja mkaamua kumuua, unachinjaje forrbbiden animal !? Ni jinsi gani msivyo na akili
Forrbbiden ndio nini?

Nawewe pia hujui kuandika kama Bwn. Mudy (15) mume wa bi khadija (40) ?
 
Nafurahi sana mkuu unapotoa comments zilizoshiba Facts n vivid examples.

Ukiwaambia hayo yote hawataweza kubisha kwasababu wao hawana references za kupinga hizi, wataishia kubwabwaja.
Hapa mpaka mwake, hata reference za vitabu watapata.

Haya mambo ukiyapa muda wa kuyafuatilia halafu kama una akili iliyotulia uongouongo wa kijinga kijinga huu hauwezi kukutatiza.

Mimi sasa hivi mtu aniambie sijui Waisareli taifa teule, sijui ukiswali elekea kibra, naona ni vitu fulani vimetengenezwa na watu tu.

Havina tofauti na Muingereza alivyolazimisha watu wa makoloni yake wasome Kiingereza na kujua historia ya wafalme wa Uingereza.

Kama kuna mtu anaweza kunipa tofauti anipe hapa.
 
Me nashangaaga tu pale nnapoona mapovu ya wakristo na chuki kwa waislamu sipati majibu wakati kila mtu ana dini yake na lengo ni kuabudu baada ya kila mmoja kutimiza lengo lake wanaanza chuki na chokochko kwa wengine tunaenda mbali kweli Mungu tusamehe waja wako
Ukristo na Uislamu ni ujinga ule ule tu, tofauti labda kw anje umepakwa rangi tofauti.

Sasa nashangaa Mkristo na Muislamu kuchekana wakati ahawazidiani hata robo.

Wote wanafuata ujinga wa kupandikiziwa tu.
 
Me nashangaaga tu pale nnapoona mapovu ya wakristo na chuki kwa waislamu sipati majibu wakati kila mtu ana dini yake na lengo ni kuabudu baada ya kila mmoja kutimiza lengo lake wanaanza chuki na chokochko kwa wengine tunaenda mbali kweli Mungu tusamehe waja wako
Ewe Ustaadhat..!

Ni kwanini usishangae chuki iliyopo kwa waislam dhidi ya wakristo?

Karibu,
 
Muhamadi sio mtume. SOMA HAYA HIZI. Mwenyewe umejifanyia mambo hata yakakufika hayo, nasi tunakutuma kwa watu ukawa mtume kwao. Upande mwingine kitabu kinasema Mungu ni mmoja na hana mshilika. SWALI. Je? Ni kina nani hao waliomtuma akawe mtume?.(maana sio Mungu,Mungu hana mshilika wakujadiliana nae). Na walikuwa wapi wakikubaliana kumtuma?. Neno (NASI TUNAKUTUMA) liko katika wingi yani hakuwa mmoja!.. maoni yangu hawa walikuwa ni watu wekifanya mambo.
 
Ewe Ustaadhat..!

Ni kwanini usishangae chuki iliyopo kwa waislam dhidi ya wakristo?

Karibu,
Sishangai kwasababu kila nyuzi nnayoiona humu ni maneno machafu kutoka kwa wakristo kwa waislmu japo waislamu nao wanajibu ila kianzio kinatoka pande ya pili niliwahi kuona comment moja mmoja anakiita kitabu cha waislamu kinyesi duh mbali huku
 
Awa jamaa wa ndevu nyingi kama kuna burudani waliyo ikosa hapa duniani basi ni hii

yani wajaribu kuonja tu waone utamu wake
 
Habari za muda huu? Ninaomba kufahamishwa ni kwa sababu gani waislamu uelekea kibra muda wa kusali au kuchinja?

Nini maana ya Kibra na kuna ulazima wa kuelekea kibra,?

Naamini Mungu yupo upande wowote, je ukisali bila kuangalia kibra sala na dua zako hazitafika?

Au Mungu anapatikana kibra? Na kama sivyo kuna nini Kibra mpaka muda wa kusali Waislaam wasujudu kuelekea kibra?

Nawasilisha.
Amri hii ya kuamrishwa wailamu kuelekeza nyuso zao sehemu flani haijaanza sasa tokea manabii waliopita nao waliamrishwa hivyo

Soma kumbukumbu la torati :12-5 mungu anasema

Lakini mahali atakapo chagua bwana mungu wenu, katika kabila zenu zote, apaweke jina lake, maana ni makao yake, elekezeni nyuso zenu hapo, nawe uwende huko

Ndiyo maana waislamu wanaelekea huko na wanenda hija hapo
 
Muhamadi sio mtume. SOMA HAYA HIZI. Mwenyewe umejifanyia mambo hata yakakufika hayo, nasi tunakutuma kwa watu ukawa mtume kwao. Upande mwingine kitabu kinasema Mungu ni mmoja na hana mshilika. SWALI. Je? Ni kina nani hao waliomtuma akawe mtume?.(maana sio Mungu,Mungu hana mshilika wakujadiliana nae). Na walikuwa wapi wakikubaliana kumtuma?. Neno (NASI TUNAKUTUMA) liko katika wingi yani hakuwa mmoja!.. maoni yangu hawa walikuwa ni watu wekifanya mambo.
Hahaha.

Unanikumbusha story moja ya Mfalme Haile Selassie. Naye alikuwa napenda sana kuongea katika wingi.

Yani akitaka kusema "nakutuma kafanye kazi hii" anasema "tunakutuma kafanye kazi hii".

Sasa siku moja kuna mtoto mmoja akamuuliza, mbona mara nyingi unaposema unatumia wingi?

Unapotumia wingi una maana gani? Mbona naona kama unasema kitu wewe halafu unatumia maneno ya wingi?

Mfalme Haile Selassie I akamjibu mtoto akamwambia "Mfalme anapoongea daima huwa haongei kama mtu mmoja, huwa anawakilisha watu wake wote waishio na wahenga waliomtangulia na mizimu yote"

Labda Mungu wao naye ana mizimu yake aliyoshirikiana nayo!
 
Dini haitoi haki sawa ya kijinsia, mwanamke anaonewa sana na haruhusiwi kuingia msikitini siku saba za week,
Akiwa msikitini hutengwa hata kwenye kukaa....

Dini inaruhusu mwanaume kuoa wanawake zaidi ya mmoja sasa kwanini msiruhusu na mwanamke aolewe na zaidi ya mwanaume mmoja ?

Mudy alioa mtoto wa chini ya miaka 18 lakini waislam leo hii hamtaki mabinti zenu waolewe katika umri chini ya 18 je hamuoni kama mnaenda kinyume na mudy.

Kusali kuangalia mecca si mnakua mnaliangalia kaburi la mudy je sio kwamba mnatukuza wafu na ndio maana majini mnaita mifugo....
 
Muhamadi sio mtume. SOMA HAYA HIZI. Mwenyewe umejifanyia mambo hata yakakufika hayo, nasi tunakutuma kwa watu ukawa mtume kwao. Upande mwingine kitabu kinasema Mungu ni mmoja na hana mshilika. SWALI. Je? Ni kina nani hao waliomtuma akawe mtume?.(maana sio Mungu,Mungu hana mshilika wakujadiliana nae). Na walikuwa wapi wakikubaliana kumtuma?. Neno (NASI TUNAKUTUMA) liko katika wingi yani hakuwa mmoja!.. maoni yangu hawa walikuwa ni watu wekifanya mambo.
rudi shule tena kajifunze maana ya pronoun "WE"
sio unataka kuichambua quran wakati hata vitabu vya shakespeare ukiletewa vitakushinda
quran ni maji marefu mkuu kaa chini ufundishwe
 
rudi shule tena kajifunze maana ya pronoun "WE"
sio unataka kuichambua quran wakati hata vitabu vya shakespeare ukiletewa vitakushinda
quran ni maji marefu mkuu kaa chini ufundishwe
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa wote atoe kitabu cha dini yake kwa watu wamoja na lugha moja tu na kiwe na utata katika tafsiri wakati aliweza kukiweka kitabu hicho kichwani mwa kila mmoja kwa lugha yake na kisihitaji tafsiri wala utata?
 
Waislamu ulimwengu mzima huwa tusali kuelekea kibla kwa sababu huko kibla ndio kwnye Al KAABA na ndio kati kati ya dunia...kuelekea kibla ni amri kutoka kwa ALLAH mlezi wa viumbe vyote....

Usishangae sisi kusali kuelekea kibla ILA mjishangae nyie mnaosali ibada zenu ambazo hakuna nabii hata mmoja alie sali kwa style zenu leo
Hapa sijaelewa popote utakapokua duniani kaskazini kwako ndo kibrah?lilipo lile pazia jeusi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom