Kwanini Waislaam wanaelekea kibra muda wa kusali au kuchinja?

Status
Not open for further replies.
Mimi huwa nnachokaga tuu pale nnapoambiwa kuna majini/mashetani wazuri na wabaya yani MUNGU aliwaona majini awafai kule kwake afu akawatupa kuzimu pamoja na mkuu wao lucifer leo unakujakuniambia kuna majini wazuri na wabaya astakafulilah!!!! aya bhana wacha waendelee kufuga ndevu na majini yao
 
Kwahiyo kafiri unafurahia hizo tabia !? Kuna quality zinazomfanya mtu kuwa Imam, fundi baiskeli hawezi kuwa Mkandarasi
Hapana...mimi KAFIR sifurahii ila nashangazwa na Wanaouhusudu ndio maana nikauliza yakhee...

punguza povu unijibu maswali yangu kinagaubaga sheikh.
 
mkuu wewe ni wa ajabu kama unapinga hilo jambo!!
Binadamu wote iwe unaamini katika dini au huamini utakubali kwamba kwetu sie wanaume Mungu kutuumbia wanawake ni neema kubwa,
na hilo la wanawake wa peponi ni dogo tu katika zawadi alizotuandalia M/Mungu neema zilizopo peponi zisikie hivi hivi tu mkuu jicho halijapata kuona wala sikio halijapata kusikia
Mkuu na wanawake wameahidiwa kulipwa fadhila zipi? wanaume wangapi? Mungu Mwingi wa upendo na amani hawezi kuweka Ngono kuwa kipaumbele cha kumpa mwanadamu bwana acha kujidanganya hapo wamebug nadhani. Soma how Catholic created Islam only ayatollahs hide the fact on their hands.
 
Si kweli. Jua huchomoza mashariki.

Ukiwa Japan Kibra ni Magharibi.

Ukiwa Japan unaangalia Kibra Magharibi, linapozamia jua, si Mashariki linapochomozea jua.

Kibra ipo Mecca.

Habari ya Waislamu kuelekea kibra ni utumwa wa kisaikolojia. Waarabu wamewashika akili Waislamu wote kwamba hapa kwetu ndipo patakatifu, huko kwenu machafuchafu, kwa hiyo mkitaka kuswali, mkitaka kuchinja, mkitaka kuhiji lazima muangalie kwetu.

Ni utumwa wa kiutamaduni tu.
NI KWELI KABISA
 
Kwa style ipi?

Kwani ninyi mnapopanda magari na kwenda kuabudu ni nabii yupi alishafanya hivyo? Si mpande punda kama Mudy?

Na wakati wa kufuturu mfuturu kwa tende na maji pekee kama mtume Mudy na maswahaba wake akina Othman na Abou Sufian, sio tambi, uji wa pilipili manga, mihogo n.k

Sawa sheikh?
Kekereeenkede....niache mapambio ya Rose mhando ili nikashike Madufu kupigia Kaswida, si ndio bwn sheikh?
mkuu hauna hoja naona maswali yako mengi ni matusi na kujifanya unaujua zaidi uislamu kuliko waislamu wenyewe, mie nakuona kituko na mpumbavu
jitahidi uwe unaficha upumbavu wako watu hapa wanakucheka kimya kimya
 
Kwanini unataka niwe na hoja wakati hoja imeshaletwa na mleta mada?

Nakukumbusha tena hoja:

Ni kwanini Waislam mkisali mnaelekea KIBLA / QIBLA ? kuna nini huko kibla?
 
Mkuu na wanawake wameahidiwa kulipwa fadhila zipi? wanaume wangapi? Mungu Mwingi wa upendo na amani hawezi kuweka Ngono kuwa kipaumbele cha kumpa mwanadamu bwana acha kujidanganya hapo wamebug nadhani. Soma how Catholic created Islam only ayatollahs hide the fact on their hands.
Wametengeneza dini nzuri kisha wakaipa Waislam, wao wakaamua kuchonga masanamu na kumuomba mamake mungu Maria awaombee ! ...pathetic creatures
 
NI KWELI KABISA
Elijah Muhammad, kiongozi wa kundi la Waislamu wa Marekani "Nation of Islam" alikorofishana na mashehe wakubwa wa Sunni. Wakawa wanampiga mkwala kwamba uislamu anaohubiri unakiuka Uislamu wa kweli.

Akawavimbia, akasema mimi siwapangii kwenu na mimi msinipangie kwangu.

Na mkitaka kunipangia kwangu, msikiti wangu mkubwa uko Chicago, nitawaambia Waislamu wa Nation of Islam wote waswali huku wakielekea Chicago tujiondoe na habari za kuelekea Mecca.

Wakamuona huyu kadata, wakamuacha.
 
Hivi wakichinja mbuzi katoliki huangalia huko pia?

Maana wengi ni walaji
Hata nyie wenyewe mlishindo kumchinja mkaamua kumuua, unachinjaje forrbbiden animal !? Ni jinsi gani msivyo na akili
 
Elijah Muhammad, kiongozi wa kundi la Waislamu wa Marekani "Nation of Islam" alikorofishana na mashehe wakubwa wa Sunni. Wakawa wanampiga mkwala kwamba uislamu anaohubiri unakiuka Uislamu wa kweli.

Akawavimbia, akasema mimi siwapangii kwenu na mimi msinipangie kwangu.

Na mkitaka kunipangia kwangu, msikiti wangu mkubwa uko Chicago, nitawaambia Waislamu wa Nation of Islam wote waswali huku wakielekea Chicago tujiondoe na habari za kuelekea Mecca.

Wakamuona huyu kadata, wakamuacha.
Nafurahi sana mkuu unapotoa comments zilizoshiba Facts n vivid examples.

Ukiwaambia hayo yote hawataweza kubisha kwasababu wao hawana references za kupinga hizi, wataishia kubwabwaja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom