Kwanini Waislaam wanaelekea kibra muda wa kusali au kuchinja?

Status
Not open for further replies.
Kwa style ipi?

Kwani ninyi mnapopanda magari na kwenda kuabudu ni nabii yupi alishafanya hivyo? Si mpande punda kama Mudy?

Na wakati wa kufuturu mfuturu kwa tende na maji pekee kama mtume Mudy na maswahaba wake akina Othman na Abou Sufian, sio tambi, uji wa pilipili manga, mihogo n.k

Sawa sheikh?
Kupanda punda ndo kuswali !? Upo counter nini ?
 
Waislamu ulimwengu mzima huwa tusali kuelekea kibla kwa sababu huko kibla ndio kwnye Al KAABA na ndio kati kati ya dunia...kuelekea kibla ni amri kutoka kwa ALLAH mlezi wa viumbe vyote....

Usishangae sisi kusali kuelekea kibla ILA mjishangae nyie mnaosali ibada zenu ambazo hakuna nabii hata mmoja alie sali kwa style zenu leo
Hiyo ni nadharia kama kutafuta mistari ya Latitude na longitude Ni nani aliipima Dunia na Alikuwa wapi hadi kuthibitisha hapo kwenye Hayo mapepo Na makao ya Shetani ni katikati mwa Dunia?? Ushahidi plz ila povu linaruhusiwa
 
Kwa style ipi?

Kwani ninyi mnapopanda magari na kwenda kuabudu ni nabii yupi alishafanya hivyo? Si mpande punda kama Mudy?

Na wakati wa kufuturu mfuturu kwa tende na maji pekee kama mtume Mudy na maswahaba wake akina Othman na Abou Sufian, sio tambi, uji wa pilipili manga, mihogo n.k

Sawa sheikh?
Kweli ww ni bashite uliza maaana ya kufturu nini ueleweshwe.,,,,usiropokwe tu kwa mambo usiyoyajua,,,,,,,

Kufturu ni pale adhana inapo adhiniwa ukatia kitu chochote mdomoni hyo ndio ftar hyo mitambi na mengine haiitwi futuru kijana nenda kausome uislamu kwanza kabla ya kutokwa na mapovu
 
Nimejibu hoja ya member kama nilivyo quote, nawe lete clips za maaskofu wanafungisha ndoa za wase.nge.
Unawajua maimam was*enge 8 waingozwao na Daaiye Abdullah?

Unajua ndio wenye waumin wengi zaidi hivi sasa? Na mmoja yupo South Afrika hivi sasa?

Unahitaji kuwafahamu zaidi hao maimam mashoga yakhee?
 
Unajua kuwa Sunday ni siku ya kuabudu mungu jua ndio maana povu linakutoka ! Kwa taarifa yako siku za Monday mpaka Sunday ni waungu wa kipagani.
Acha kuongea kama upo unakunya kando ya njia..
Lete ushahid hapa tuone na uelezee mwezi na Nyota msikotini vinafuata nn
 
Unajua kuwa Sunday ni siku ya kuabudu mungu jua ndio maana povu linakutoka ! Kwa taarifa yako siku za Monday mpaka Sunday ni waungu wa kipagani.
Ile style yenu ya kubinulia wanaume makalio ndio sababu ya Waarabu waislam kutafunana nyuma

Waijua style hiyo yakhee?
 
Ile style yenu ya kubinulia wanaume makalio ndio sababu ya Waarabu waislam kutafunana nyuma

Waijua style hiyo yakhee?
Hahaaa utawaharibia njaa yao mkuu wao wanaitwa swaumu..
Mkuu niko zenj mm na walichofanya hao wanaojifanya wameshika dini sitasahau pumba kabisa hao.
 
Kweli ww ni bashite uliza maaana ya kufturu nini ueleweshwe.,,,,usiropokwe tu kwa mambo usiyoyajua,,,,,,,

Kufturu ni pale adhana inapo adhiniwa ukatia kitu chochote mdomoni hyo ndio ftar hyo mitambi na mengine haiitwi futuru kijana nenda kausome uislamu kwanza kabla ya kutokwa na mapovu
Yakheee....ungenielewesha bila kutaja jina bashite ingekuwa buuurudan

Wafuasi wa Mudy si ndio mabashite zaidi kwa kukataa kupiga pombe duniani kwakuwa ni dhambi ila kuinywea kule Akhera ni swaaalama swalmin...Allah Akbar
 
Nimeskia zaidi ya maramoja kuwa PEPONI watatoa Wanawake tena wasiopungua 40 Mabikra. Hivi Mungu akupe Ngono kuwa ndio kitulizo baada ya Kumwabudu! je kwa wanawake wao watapewa nini?
mkuu wewe ni wa ajabu kama unapinga hilo jambo!!
Binadamu wote iwe unaamini katika dini au huamini utakubali kwamba kwetu sie wanaume Mungu kutuumbia wanawake ni neema kubwa,
na hilo la wanawake wa peponi ni dogo tu katika zawadi alizotuandalia M/Mungu neema zilizopo peponi zisikie hivi hivi tu mkuu jicho halijapata kuona wala sikio halijapata kusikia
 
Kabla ya hapo, sisi na Yesu tulikuwa tukielekeza nyuso zetu Jerusalem, kasome Biblia wacha kuhangaika na mapambio ya Rose Muhando
Kekereeenkede....niache mapambio ya Rose mhando ili nikashike Madufu kupigia Kaswida, si ndio bwn sheikh?
 
JIBU:

AlhamduliLLaah - Himdi Na Sifa Zote Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho.

Shukrani ndugu yetu kwa swali hili linalohusiana na kuelekea Waislamu wanaposwali.

Mwanzo tunapenda kuieleza ibara inayosema, “Waislamu tunaelekea Qiblah wakati wa Ibaadah zote”. Ibara hii si kweli kwani Ibaadah ambayo Waislamu wanaelekea Qiblah ni Swalah peke yake. Hakika ni kuwa zipo Ibaadah nyengine ambazo hufai kuzifanya ukielekea Qiblah mfano ni kukidhi haja ndogo au kubwa. Katika maagizo ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) ni kutokipa Qiblah mgongo wala kukielekea. Ibaadah ya Funga, Zakah, Hijjah, Jihaad, kufanya kazi, kusoma si lazima uelekee Qiblah. Lakini ufahamu na ibara hii imekuja kwa ule muono wetu finyu kuwa Ibaadah ni Swalah peke yake.

Ifahamike kuwa Ibaadah katika Uislamu ni kila jambo la halali unalolifanya ili kupata ridhaa ya Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala). Ukifanya jambo hilo unapata thawabu. Hivyo, zimekuja Hadiyth kutufahamisha kuwa hata kustarehe na mkeo ni aina ya Ibaadah na unapata thawabu kwayo (Muslim).

Sasa labla tukija katika mas-ala ya Swalah na kuelekea Qiblah ni kuwa hili ni agizo kutoka kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) na mtihani kwetu. Je, katika amri hii tutakuwa ni wenye kusitasita au vipi? Muislamu ni yule ambaye amejisalimisha kabisa kwa Allaah na pindi anapopatiwa amri anakuwa ni mwenye kuitii bila ya wasiwasi wa aina yoyote. Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) Anasema: “

Haiwi kwa mwanamume aliyeamini wala mwanamke aliyeamini, Allaah na Mtume Wake wanapokata shauri, wawe na hiari katika jambo hilo. Na mwenye kumuasi Allaah na Mtume Wake, hakika amepotea upotevu ulio wazi kabisa” (33: 36).

Muislamu mzuri ni yule anayesema:

“Tumesikia na tumetii” (2: 285).

Na kutii huko kunakufanya wewe uwe miongoni mwa wenye ilimu kwani wao ndio wenye kusema hivyo:

“Na wale waliozama katika ilimu husema: ‘Tumeziamini zote zimetoka kwa Mola wetu’. Na hawakumbuki hayo isipokuwa wenye akili” (3: 7).

Hakika ni kuwa kuelekea sehemu fulani katika maombi au Ibaadah fulani au zote ni jambo ambalo linaeleweka sana na Waislamu na wale wasiokuwa Waislamu lakini wakapotosha vitabu vyao kama Mayahudi na Manasara[wakiristo]. Hili lipo wazi katika maandiko na halina utata. Hebu tutazame baadhi ya Aayah za Qur-aan zinazozungumzia jambo hilo.

Waislamu walikuwa wanaelekea al-Quds kabla ya kuhamia Madiynah na baada ya hapo waliendelea kuelekea huko kwa muda wa miezi 16 au 18 kabla ya kubadilishwa Qiblah na Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) kuelekea al-Ka‘bah au Msikiti Mtukufu wa Makkah. Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) Anasema:

“Bila shaka! Tumekuona ukielekeza uso wako mbinguni. Kwa hakika, Tutakubadilishia Qiblah ambacho kitakuridhisha, kwa hivyo geuza uso wako kuelekea Masjidul-Haraam (Msikiti Mtukufu wa Makkah). Na popote watu wako watakapokuwa, geuzeni nyuso zenu huko. Bila shaka, watu waliopewa Vitabu (Mayahudi na Manasara) wanajua vizuri kuwa huu ndio ukweli kutoka kwa Mola wao. Na Allaah hajaghafilika na wanayoyafanya” (2: 144).

Anasema tena Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala):

“Na popote unapoanza (kwa Swalah), geuza uso wako kuelekea Masjidul-Haraam, na popote mutakapo kuwa elekezeni nyuso zenu huko (Makkah mutakapo kuwa mnaswali)… ” (2: 150).

Mayahudi waliokuwa Madiynah walipiga makelele sana kuhusu kubadilishwa Qiblah. Qur-aan iliwarudi kuwa sehemu zote ni za Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala), Naye ndiye pekee Mwenye kuweka Qiblah kwa mtu mwenye kuswali. Tafadhali tazama Surah 2, Aayah 142 – 143.

Hao wajinga walisema: “Bila shaka, Swalah za Waislamu kwa miaka yote iliyopita zimepotea na hawatapata thawabu zozote, kwani hazikufanywa kwa kuelekea katika Qiblah kilicho sahihi”. Akajibu Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala): “Na Allaah hatazifanya imani zenu kupotea bure”. (2: 143)

Kumaanisha Swalah zenu zilifanywa katika Qiblah kilicho kuwa sahihi kilichoridhiwa na Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala).

Ibara hii hapa ni muhimu sana, Anaposema Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala): “Bila shaka, watu waliopewa Vitabu (Mayahudi na Manasara) wanajua vizuri kuwa huu ndio ukweli kutoka kwa Mola wao. Na Allaah hajaghafilika na wanayo yafanya” (2: 144). Hakika ni kuwa nao pia walikuwa wakielekea sehemu fulani walipokuwa katika maombi yao lakini baada ya kubadilishwa Qiblah walikataa hilo japokuwa wanaelewa vyema kuwa hiyo ni haki.

Jambo hili la kuelekea sehemu fulani katika maombi linatekelezwa hata na baadhi ya makabila yanayofuata dini za kitamaduni. Mfano hai ni Wakikuyu wanaoishi Kenya ambao wanaelekea mlima Kenya. Huzuni ni kuwa waliopewa Vitabu walibadilisha maandiko ili kukidhi maslahi na matashi ya binafsi, lakini hakika hii wanaijua zaidi ya watoto wao.

Na Allaah Anajua zaidi
Imamu
Umejibu Swali Vema.
 
Unawajua maimam was*enge 8 waingozwao na Daaiye Abdullah?

Unajua ndio wenye waumin wengi zaidi hivi sasa? Na mmoja yupo South Afrika hivi sasa?

Unahitaji kuwafahamu zaidi hao maimam mashoga yakhee?
Kwahiyo kafiri unafurahia hizo tabia !? Kuna quality zinazomfanya mtu kuwa Imam, fundi baiskeli hawezi kuwa Mkandarasi
 
Hua wanafuata jua linapochomozea na kuzika ni hivyo hivyo, sijui wana ajenda gani na jua!!
LABDA WANAABUDU JUA NDIE ALLAH..

[HASHTAG]#Mondray2017[/HASHTAG]
Si kweli. Jua huchomoza mashariki.

Ukiwa Japan Kibra ni Magharibi.

Ukiwa Japan unaangalia Kibra Magharibi, linapozamia jua, si Mashariki linapochomozea jua.

Kibra ipo Mecca.

Habari ya Waislamu kuelekea kibra ni utumwa wa kisaikolojia. Waarabu wamewashika akili Waislamu wote kwamba hapa kwetu ndipo patakatifu, huko kwenu machafuchafu, kwa hiyo mkitaka kuswali, mkitaka kuchinja, mkitaka kuhiji lazima muangalie kwetu.

Ni utumwa wa kiutamaduni tu.
 
Hivi nchi hii tulilogwa na nani? Watu wakiona tunaanza kuungana kwenye hoja za maana kama wizi wa madini yetu waho wanaanza kupenyeza hoja za udini ili kutufarakanisha!
NB: Mods hebu ipelekeni hii mada kwenye jukwaa husika maana hata hapa kwenye hoja mchanganyiko pia hapafai kuchafuliwa!
Sisi wengine huwa tunapenda kujadili siasa kama siasa!
Changanya matako ukojoe ukalale..
Huku umeitwa?
Kafuturu hukoo
 
Tunapokuwa tunahangaika kujenga democrasia katika nchi yetu na kuinua hali zetu za kimaisha hatutaki mzaha kabisa, tuna mambo mengi sana yanatuumiza vichwa kama watanzania sasa mtu anapokuja kuanzisha mjadala wa kidini nahisi ni vijana wa lumumba wanataka kututoa kwenye agenda zetu za msingi tuanze kulumbana kuhusu dini. Mimi muislam wewe mkiristo kila mtu abaki na imani yake itajulikana siku ya mwisho nani wa motoni na peponi, dini zimeanza kusuguana toka karne ya 5 huko leo 21 hakunaga mshindi.
 
Si kweli. Jua huchomoza mashariki.

Ukiwa Japan Kibra ni Magharibi.

Ukiwa Japan unaangalia Kibra Magharibi, linapozamia jua, si Mashariki linapochomozea jua.

Kibra ipo Mecca.

Habari ya Waislamu kuelekea kibra ni utumwa wa kisaikolojia. Waarabu wamewashika akili Waislamu wote kwamba hapa kwetu ndipo patakatifu, huko kwenu machafuchafu, kwa hiyo mkitaka kuswali, mkitaka kuchinja, mkitaka kuhiji lazima muangalie kwetu.

Ni utumwa wa kiutamaduni tu.
Safiii mkuu endelea kushusha nondo
 
Nimeskia zaidi ya maramoja kuwa PEPONI watatoa Wanawake tena wasiopungua 40 Mabikra. Hivi Mungu akupe Ngono kuwa ndio kitulizo baada ya Kumwabudu! je kwa wanawake wao watapewa nini?
wanapewa hogo la jang'ombe sio bamia..binaadam hana tulizo linalozidi ngono
 
Hiyo ni nadharia kama kutafuta mistari ya Latitude na longitude Ni nani aliipima Dunia na Alikuwa wapi hadi kuthibitisha hapo kwenye Hayo mapepo Na makao ya Shetani ni katikati mwa Dunia?? Ushahidi plz ila povu linaruhusiwa
Haina haja ya ushahidi kijana.,,,hata kwenye taarifa za habari hujawahi kuskia panatamkwa neno MASHARIKI YA KATI??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom