Kama nimekuelewa zaidi kwa komenti zako 2Sidhani kama ilikuwa hivyo, ila kwa vile ni tawi la MNH na baadhi ya wanafunzi walipelekwa kule, ilibidi maDr nao wawe na sessions za Mloga. Nchi hii haina hospitali bora kama Mloganzila, hakuna hata moja, in terms of majengo, facilities hakuna. JK aliweka kitu cha maana sana pale.
Alipona?Nina ndugu yangu alitolewa Muhimbili akapelekwa pale...
Vifaa tiba vilikuwepo, shida ilikuwa madaktari. Mkuu huwezi ifananisha mloganzila na hospitali nyingine nyingi za kibongo, ile ipo next level, tatizo la nchi yetu kama zilivyo sekta nyingine, watu wapo reckless sana.Wakati inafunguliwa hizo facilities(vifaa tiba) zilikuawepo za kutosha?
AlikufaAlipona?
PoleAlikufa
Mkuu,Kama nimekuelewa zaidi kwa komenti zako 2
Haya sawa basi wanakufa kwa mapenzi ya Mungu, hii imeenda.Vifaa tiba vilikuwepo, shida ilikuwa madaktari. Mkuu huwezi ifananisha mloganzila na hospitali nyingine nyingi za kibongo, ile ipo next level, tatizo la nchi yetu kama zilivyo sekta nyingine, watu wapo reckless sana.
Pole mkuu.Pole
Umeuliza ili umshushuePrivate alipona?
Lete sumu mama la mamaLeo sijisikii kumwaga sumu ni siku ya Bwana
Kumshushue ndio kufanyaje?Umeuliza ili umshushue
Unaweza tupa experience yako kwa urefu zaidi?Nina ndugu yangu alitolewa Muhimbili akapelekwa pale...
Alipelekwa pal akiwa stage gani? Ukijibu hapo utapata majibu mengine...Nina ndugu yangu alitolewa Muhimbili akapelekwa pale...
[emoji120]
Leo sijisikii kumwaga sumu ni siku ya Bwana