Mloganzila inafundisha wanafunzi wa Chuo gani ?Mmmh...
Mloganzila ndiyo hospitali kubwa nchini?
Mloganzila ndiyo inapokea wagonjwa walioshindikana kwingineko?
Mloganzila siyo hospitali ya mafunzo?
MNH nayo siyo ya mafunzo?
MUCHS wanafundishia wapi?
Sio lazima uchangie kila mada kama Huna cha kuchangia.Sifa za bwana fulani kutumia nguvu kuliko akili, kulazimisha mambo aonekane kafanya makubwa.....hospital haijajikamilisha miundombinu wala wafanyakazi ikaanza kuchapa kazi....itaacha kuwa mochwareee??!
Umeniwekea bando hadi unipangie???Sio lazima uchangie kila mada kama Huna cha kuchangia.
Alipona?Hii ni kweli hospitali inaogopwa ile. Ndugu yetu alipewa rufaa kwenda pale aligoma katakata akasema bora akafie nyumbani. Ikabidi apelekwe private.
Hapo chacha, eeenh hilo la devil linakuwaje?Ile Hospital inafadhiliwa na devil worship,super masonic wenyewe, na kuna mambo ya ajabu yatatokea pale ambayo hujawahi ona.Now wameanza na surgery za kubadiki maungo.
Sifa za bwana fulani kutumia nguvu kuliko akili, kulazimisha mambo aonekane kafanya makubwa.....hospital haijajikamilisha miundombinu wala wafanyakazi ikaanza kuchapa kazi....itaacha kuwa mochwareee??!
Teteeni tu, alikua na misifa kahatarisha maisha ya watu awafurahishe nyie wake zake.....unafungua hospital ukitegemea madr watoke kutibu x wakatibu yYaaani ndio maana ukawa mwalimu akili zipo chini
Taja hospital kubwa kulikoMmmh...
Mloganzila ndiyo hospitali kubwa nchini?
Mloganzila ndiyo inapokea wagonjwa walioshindikana kwingineko?
Mloganzila siyo hospitali ya mafunzo?
MNH nayo siyo ya mafunzo?
MUCHS wanafundishia wapi?
Hiyo ni kauli ya mafukara waliyojazwa na manabii fakeHapo chacha, eeenh hilo la devil linakuwaje?
Sidhani kama ilikuwa hivyo, ila kwa vile ni tawi la MNH na baadhi ya wanafunzi walipelekwa kule, ilibidi maDr nao wawe na sessions za Mloga. Nchi hii haina hospitali bora kama Mloganzila, hakuna hata moja, in terms of majengo, facilities hakuna. JK aliweka kitu cha maana sana pale.Teteeni tu, alikua na misifa kahatarisha maisha ya watu awafurahishe nyie wake zake.....unafungua hospital ukitegemea madr watoke kutibu x wakatibu y
Wakati inafunguliwa hizo facilities(vifaa tiba) zilikuawepo za kutosha?Sidhani kama ilikuwa hivyo, ila kwa vile ni tawi la MNH na baadhi ya wanafunzi walipelekwa kule, ilibidi maDr nao wawe na sessions za Mloga. Nchi hii haina hospitali bora kama Mloganzila, hakuna hata moja, in terms of majengo, facilities hakuna. JK aliweka kitu cha maana sana pale.
Imepitiliza watu wanaokufa kupitiliza...Pole kuna kipindi nilisikia mlonganzila ikiitwa machinjio, ila suala la kifo hata mnh wagonjwa wanakufa hii dhana haina uhalisia
Hio ni sababu pia ya masifa ya bwana yule, alienda MLOGANZILA akaona vitanda vipo tupu halafu Upanga kuna wagonjwa shazi, akasema wagonjwa wa upanga wapelekwe MLG,Sidhani kama ilikuwa hivyo, ila kwa vile ni tawi la MNH na baadhi ya wanafunzi walipelekwa kule, ilibidi maDr nao wawe na sessions za Mloga. Nchi hii haina hospitali bora kama Mloganzila, hakuna hata moja, in terms of majengo, facilities hakuna. JK aliweka kitu cha maana sana pale.
Ushawahi tibia Mloganzila?Imepitiliza watu wanaokufa kupitiliza...
Kwanini watu wasiseme Muhimbili...
Wanasema pale sababu hakuna huduma watu wanakuwa kama wametelekezwa...
Ndio maana wanakufa
Nina ndugu yangu alitolewa Muhimbili akapelekwa pale...Ushawahi tibia Mloganzila?